GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Aliyesema (aliyetuita) wana Simba SC ni Mbumbumbu wala hakukosea. Na tunastahili kuitwa Mambumbumbu.
Eti Matola apewe Timu. Asanteni sana Prisons FC na Simba SC tafadhali mpeni Timu Moja kwa Moja Kocha Mnafiki na mwana Yanga SC sawa?
Hivi Yanga SC leo hii pamoja na Mafanikio yake Kocha Minziro huko aliko wanaweza kweli Kuthubutu kumpa Timu yao na awe Kocha Mkuu?
Na namalizia kuwakereni makusudi kuwa kama Simba SC itambakiza Kocha Matola tegemeeni Kuukosa tena Ubingwa wa Ligi Kuu Msimu ujao na hata Kufungwa na Yanga SC kwani Yanga SC huwa wanapitia Kwake, kwa Meneja Patrick Rweymamu na Mwenyekiti Murtaza Mangungu.
Nimemaliza.