GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mpira siku hizi haupo hivyo wewe koloUngeangalia Position aliyokuwa Polisi Tanzania kabla na baada ya Game, Ungeelewa kwanini Simba jana kafungwa...
Mmmmm! Mkuu, ni POLISI TANZANIA?Ungeangalia Position aliyokuwa Polisi Tanzania kabla na baada ya Game, Ungeelewa kwanini Simba jana kafungwa.
Nafasi aliyopo Simba hato drop chini wala kupanda kwenye matokeo yote ya kushinda au kushindwa.
Hii issue kwa Polisi Tanzania ilikuwa tofauti, angepigwa angekaa kwenye kundi la kushuka bila Play Off.
Baada ya ushindi wa jana kapanda nafasi ya 14, Kabla ya game la Jana ilikuwa inatakiwa ashinde game 2 zilizobaki kurejesha matumaini ya kubaki League kuu.
Game ngumu kati ya hizo 2 ilikuwa hiyo ya jana. Hawa wakongwe wanajuana.
Me sio mshabiki wa Simba, najaribu kuongea kimpira tu.
Fact.Kufungwa Jana sio kigezo cha yeye kuporwa timu, Klopp na Guardiola nao timu zao zinafungwa vile vile. Hata Matola angeshinda mechi zote alizoachiwa Simba, tena kwa goal difference ya 4+ , Bado asingekabidhiwa timu.
So, mashabiki wa Simba kuweni fair kwenye kumjudge
Kaja na pupa hata ratiba hajuiMmmmm! Mkuu, ni POLISI TANZANIA?
Sio PT mkuu ni TP naona umemix mafailiUngeangalia Position aliyokuwa Polisi Tanzania kabla na baada ya Game, Ungeelewa kwanini Simba jana kafungwa...
Nimeona mkuu, nimerekebishaSio PT mkuu ni TP naona umemix mafaili
Hovyo kabisa Wewe.Kufungwa Jana sio kigezo cha yeye kuporwa timu, Klopp na Guardiola nao timu zao zinafungwa vile vile. Hata Matola angeshinda mechi zote alizoachiwa Simba, tena kwa goal difference ya 4+ , Bado asingekabidhiwa timu.
So, mashabiki wa Simba kuweni fair kwenye kumjudge
Watu wasio na Akili ( yaani Fools ) ndiyo huja na sababu za Kipuuzi na Kitoto kama hizi ( hii yako ) huna unachokijua Oky?Ungeangalia Position aliyokuwa Tanzania Prisons kabla na baada ya Game, Ungeelewa kwanini Simba jana kafungwa.
Nafasi aliyopo Simba hato drop chini wala kupanda kwenye matokeo yote ya kushinda au kushindwa.
Hii issue kwa Tanzania Prisons ilikuwa tofauti, angepigwa angekaa kwenye kundi la kushuka bila Play Off.
Baada ya ushindi wa jana kapanda nafasi ya 14, Kabla ya game la Jana ilikuwa inatakiwa ashinde game 2 zilizobaki kurejesha matumaini ya kubaki League kuu.
Game ngumu kati ya hizo 2 ilikuwa hiyo ya jana. Hawa wakongwe wanajuana.
Me sio mshabiki wa Simba, najaribu kuongea kimpira tu.
Mkuu acha Kupoteza muda wako na hao wana Simba SC wasiojielewa na Mazuzu ( Majuha ) kama huyo na Wengineo JF.Mpira siku hizi haupo hivyo wewe kolo
Haijalishi nani? Na yupo kwenye nafasi gani? Anzeni kukubali matokeo ya mpira yanayotokea na hii Simba ni mbovu sana ikiwa kwenye away games msimu huu
Hajielewi huyu kashapanicKwenye ule uzi wako ulisema mechi zote za Matola atashinda tena kwa magolo mengi ajuwa na haohao wachezaji, nadhani leo umejiona jinsi ulivyo mjinga.
Hukunielewa Concept yangu Kuu katika ule Uzi na wala siyo Kosa bali ni Kosa la Upumbavu ( Upopoma ) wako uliokutukuka. Kwa taarifa yako ule Uzi niliuandika nikiwa namaanisha ( nalenga ) kuwa Kocha Matola siyo Mtu sahihi Kwetu na kwamba hatufai na hatotufaa kwani ana Majungu na ndiyo anaongoza kwa Kuwaharibia Makocha wote Wageni wanaokuja Simba SC.Naona Genta anapingana na maneno yake, siku ile alisema baada ya Matola kupewa timu game zinazofuata zote watashinda, leo anasema mengine