Wale mliokuwa mkiimba kuwa Simba SC ya Matola haifungwi na apewe Timu tuendelee Kuimba au?

Kwenye ule uzi wako ulisema mechi zote za Matola atashinda tena kwa magolo mengi ajuwa na haohao wachezaji, nadhani leo umejiona jinsi ulivyo mjinga.
Hukunielewa Concept yangu Kuu katika ule Uzi na wala siyo Kosa bali ni Kosa la Upumbavu ( Upopoma ) wako uliokutukuka. Kwa taarifa yako ule Uzi niliuandika nikiwa namaanisha ( nalenga ) kuwa Kocha Matola siyo Mtu sahihi Kwetu na kwamba hatufai na hatotufaa kwani ana Majungu na ndiyo anaongoza kwa Kuwaharibia Makocha wote Wageni wanaokuja Simba SC.
 
Wewe huwa unadhani unayaweza sana matusi kuliko wengine humu? Ni kwamba huwa hatutaki kuonekana hatuna ubongo, ila kama ndio unachopenda endelea.
 
Wewe huwa unadhani unayaweza sana matusi kuliko wengine humu? Ni kwamba huwa hatutaki kuonekana hatuna ubongo, ila kama ndio unachopenda endelea.
Hopeless acha kunipotezea muda tafadhali sawa?
 
Hopeless acha kunipotezea muda tafadhali sawa?
Mimi sipotezi muda, aliyepoteza muda ni yule aliyetunza shahawa za mjinga fulani kwa miezi tisa, ili aje azae jitu jinga lisilo na maisha kama mleta mada.
 
Mimi sipotezi muda, aliyepoteza muda ni yule aliyetunza shahawa za mjinga fulani kwa miezi tisa, ili aje azae jitu jinga lisilo na maisha kama mleta mada.
Mpaka umenijibu hivi ina maana Sindano zangu nilizokupa zimekuingia vilivyo na sasa unaweweseka na Kuhamka hivi tu.
 
Unata
Unataka kusema simba wamefanya match fixing?
 
Mbona makocha wote wanafukuzwa ila yeye hang'oki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…