Wale mliokuwa mnatafuta shamba boy sasa tayari amepatikana.

Wale mliokuwa mnatafuta shamba boy sasa tayari amepatikana.

Ezra cypher

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2024
Posts
244
Reaction score
904
Wale, jamaa ambao mlikuwa mnatafuta shamba boy .

Amepatikana tayari yupo anasubiria simu ili aende sehemu husika.

Ana umri 28
Hana familia
Elimu darasa la saba

Uzoefu wa kulima , kuangalia bustani , pamoja na mifugo anao wa kutosha

Waweza mpigia hapa
"0696999965"
 
Wakuu yule shamba boy , bado anafatilia hii nafasi ikiwa bado kuna mtu anahitaji naomba awasiliane nae.
 
Back
Top Bottom