Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimnadi sana kuna watu watajua ana dhiki watamtumikisha visivyoWakuu yule shamba boy , bado anafatilia hii nafasi ikiwa bado kuna mtu anahitaji naomba awasiliane nae.
Barikiwa Sana mkuuKapambanie kombe
Ni kweli ana dhiki maana anahitaji sehemu ya kwenda kufanya Kazi za shamba boy .Ukimnadi sana kuna watu watajua ana dhiki watamtumikisha visivyo
Umefanya jambo zuri kuwawekea namba ilitakiwa wampigieNi kweli ana dhiki maana anahitaji sehemu ya kwenda kufanya Kazi za shamba boy .
Kikawaida watu hupenda kupata update ili kujua Kama muhusika bado anahitaji Kazi , au amepata au bado .
Nashukuru Kwa ushauri wako, ubarikiwe Sana na Mungu akutunzeUmefanya jambo zuri kuwawekea namba ilitakiwa wampigie
Hii fursa changamoto yake ni kuwa akipigiwa simu huyo muhusika anataka ajue wapi umepata namba yake.Kapambanie kombe