GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nakumbuka nilipoiandika ile Mada ( nilipouanzisha ule Uzi ) kama kawaida GENTAMYCINE nilishambuliwa ila kama Kawaida yangu niliendelea Kujiamini huku nikiwa na uhakika tena wa 100% kuwa Mchezaji Ceaser Lobi Manzoki haji ng'o Simba SC na kwamba Uongozi wa Simba SC unawafanyeni Mazuzu na Kuwadanganya kuhusu Ujio wake.
Ifike muda muwe mnakubali tu kuwa kuna Watu Wengine hapa duniani Mwenyezi Mungu kawabariki na Shani ( Tunu ) nyingi zikiwemo na za kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer sawa?