Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukisema hivyo ni Vyuo vya kata wanatutukanaWewe mwe..hu kweli kama sio kiazi.
Sasa pre match inahusiana na na performance? Hivi huko SAUT ulienda ssomea ujinga?
😅😅afu degree inatukana watu mitandaoni, sikuwahi kumuona hata ameshika jezi kwenye mashindano ya fawascoTukisema hivyo ni Vyuo vya kata wanatutukana
Ila watu mnawaza nini sijui asee!Popoma hivi kipindi Mungu anatupa akili aisi
Wewe ulikuwa wapi? Hadi ukaja na fuvu tupu linalochoasha shingo tu kulibeba
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King. Ifike muda sasa muwe mnanielewa na mkubali kuwa Nimebarikiwa vingi na Mola sawa?
Ni Mchezaji mwenye Nuksi mno SSC. Na kudhihirisha hilo hata sasa Kocha amemtoa Nuksi wenu Kapombe.
99,% ya Pre Match Meeting alizofanya Simba SC imefungwa na chavhe sana imeshinda tena kwa taabu mno..
Kudadadeki.
Ila huachi tu Kumfuatilia na Kunsoma hapa JamiiForums Kudadadeki.Kumbe huyu jamaa hamna kitu kabisa asee
Nilichogundua kumbe ni kiazi aka kujumbuIla huachi tu Kumfuatilia na Kunsoma hapa JamiiForums Kudadadeki.
Usimchukulie huyu jamaa serious, mkuu.Aisee we Jamaa ni mtu wa hovyo sana halafu unapenda sana shari, yaani unaumuka mpaka mitandaoni. Halafu matusi sio Ujanja wala Sifa ya Mwanamume kamili. Kubanduliwa eti 😂😂😂 inawezekana Wewe wamesha ku unsealed tayari 🤣📌
Ukiona naandika Jambo / Kitu hapa JamiiForums nakuomba sana uwe Unakiamini kwa 99% sawa Mkuu?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Usimchukulie huyu jamaa serious, mkuu.
Hii ni identity yake aliyoichagua kwenye hii I'd. Lugha Kali na za kuudhi. Unaweza Kuta ana I'd nyingine alafu ikawa ni ya upole na ustaarabu sana na mkawa marafiki pengine kwenye hiyo I'd.
So, kujibizana nae ni kupoteza muda tu mana utajikuta unaingia kwenye mfumo wake,wa lugha ya majibizano yasiyo na staha.
Hawa watu wa aina hii wapo Kila mahali, Twitter ( X), FB na Ig. Zinaitwa parody accounts. Ni I'd ambazo zipo kwa ajili ya vita na matusi tu,basi!
Huwezi kujibizana na watu wa aina hii ukategemea kushinda. Zaidi sana utaishia kuchukia na kupanda hasira wakati mwenzio yupo zake ghetto anakuna pumbu,Huku anakucheka jinsi mnavyotukanana na unavyopanick
Hizo ndiyo athari hasi za teknolojia (internet).
La msingi tu tambua Hawa watu wanapitia changamoto nyingi sana. Na hiki wanachofanya ni kutafuta relief. Mfano kabla ya mechi jamaa kaandika nyuzi nyingi sana. Unagundua Kuna tatizo mahali.
Watu kama hawa ni wa kuwaonea huruma tu mkuu. Usiingie kwenye mfumo wa kujibizana nao, wewe ni Bora sana.
Unaikumbuka I'd ya Mbao za Mawe ? katafute Uzi wake mmoja akicomfess jinsi Gani amewatesa watu wa Jf na staili zake za matusi na majibizano ya hovyo kama Genta kwa IDs zake tofauti . Akazitaja zote, though Kuna zingine hazikuwa I'd za matusi Bali za kufurahisha watu na akaomba msamaha kwa mambo aliyofanya miaka mingi na hizo IDs za hovyo .
Thank you.smarter than i expected
Huyoooo, ushachezea dudu ya Ali Ali tuliaMimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
GentapuchiGentambe
Nimekubali.Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King. Ifike muda sasa muwe mnanielewa na mkubali kuwa Nimebarikiwa vingi na Mola sawa?
Ni Mchezaji mwenye Nuksi mno SSC. Na kudhihirisha hilo hata sasa Kocha amemtoa Nuksi wenu Kapombe.
99,% ya Pre Match Meeting alizofanya Simba SC imefungwa na chavhe sana imeshinda tena kwa taabu mno..
Kudadadeki.