Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ana matatizo sana halafu huyu jamaa inaonekana anajichukia na hajikubali kabisa na ndio maana anatumia mitandao kwa hasira zote ili kujionyesha kama ni mwamba fulani kumbe ni mkate tu wa super loaf 🤣🤣🤣Usimchukulie huyu jamaa serious, mkuu.
Hii ni identity yake aliyoichagua kwenye hii I'd. Lugha Kali na za kuudhi. Unaweza Kuta ana I'd nyingine alafu ikawa ni ya upole na ustaarabu sana na mkawa marafiki pengine kwenye hiyo I'd.
So, kujibizana nae ni kupoteza muda tu mana utajikuta unaingia kwenye mfumo wake,wa lugha ya majibizano yasiyo na staha.
Hawa watu wa aina hii wapo Kila mahali, Twitter ( X), FB na Ig. Zinaitwa parody accounts. Ni I'd ambazo zipo kwa ajili ya vita na matusi tu,basi!
Huwezi kujibizana na watu wa aina hii ukategemea kushinda. Zaidi sana utaishia kuchukia na kupanda hasira wakati mwenzio yupo zake ghetto anakuna pumbu,Huku anakucheka jinsi mnavyotukanana na unavyopanick
Hizo ndiyo athari hasi za teknolojia (internet).
La msingi tu tambua Hawa watu wanapitia changamoto nyingi sana. Na hiki wanachofanya ni kutafuta relief. Mfano kabla ya mechi jamaa kaandika nyuzi nyingi sana. Unagundua Kuna tatizo mahali.
Watu kama hawa ni wa kuwaonea huruma tu mkuu. Usiingie kwenye mfumo wa kujibizana nao, wewe ni Bora sana.
Unaikumbuka I'd ya Mbao za Mawe ? katafute Uzi wake mmoja akicomfess jinsi Gani amewatesa watu wa Jf na staili zake za matusi na majibizano ya hovyo kama Genta kwa IDs zake tofauti . Akazitaja zote, though Kuna zingine hazikuwa I'd za matusi Bali za kufurahisha watu na akaomba msamaha kwa mambo aliyofanya miaka mingi na hizo IDs za hovyo .
Uki disco Chuo chochote nenda karudie Saut utamalizaTukisema hivyo ni Vyuo vya kata wanatutukana