Wale mlionitukana niliposema kuwa Kapombe ana Nuksi kila akifanya Pre Match Meeting mpo wapi sasa?

Unatukana Upepo boss wangu

Unajisumbua bure...

Tukana hadi mwisho

UNAPAKA RANGI UPEPO.
 
Yoyote mwenye kupenda Lugha chafu na matusi karibu sana.

Njoo utukanale Capo.

Karibu sana najukaribisha.
Ila usivunje sheria za jf ukapigwa ban usinitukane.
 
Huyu ana matatizo sana halafu huyu jamaa inaonekana anajichukia na hajikubali kabisa na ndio maana anatumia mitandao kwa hasira zote ili kujionyesha kama ni mwamba fulani kumbe ni mkate tu wa super loaf 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…