Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Sasa mbona unatoa siri za kambi.

Mtu mmoja bado hatoshi kuwa sample tosha ya kuyoa majibu ya ujumla
 
Mungu akusaidie upate mme bora, ili uachane na hayo mawazo.
 
Sawa
 
Njoo tuanze safari taratibu haya mambo ya umri mkisahau upendo
 
Hivi at 30s mwanamke kwanini hujaolewa?

Au waowaji wanazingua?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ama kweli umevurugwa Leo. Yeye Mrs. Halafu nyie anawaambia mvute subra na msivute bangi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio hapo sasa
 
Watoto wa nje ya ndoa huwa mna maneno ya kejeli sana kuhusu maagizo ya MUNGU.

So unahisi ndoa ni mpango wa binadamu?!

Shida ya malenzi nje ya imani ndio hii.... Haramu unaona halali na halali unaona haramu. Nyooooooooooooh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CPA hadi PHD mkuu[emoji23]
Shida yenu nyie "Career Women" mnataka kuanzisha familia mkiwa na miaka 35, sasa muda huo Mwanaume wa 38-40 anaangalia hottie wa miaka 23/24 sababu SMV kwake ipo juu kuliko wewe wa 35.

Kinachotokea unakuwa overstressed unaanza kutumia meds mwisho wa picha Overweight ndio unalose mvuto kabisa hakuna anayepiga hodi.

For the high value men, a woman who Knows how to cook > a woman with degree.
 
Mkifatwa inbox mnaringa na kutublock.

Tukiwaomba namba, mnatupea namba za zimamoto ama nmba za wajomba zenu.

Tukiwafata face to face kuwatongoza mnaleta mashauzi na dharau za kijinga,

Sasa malipo yenu ni hapahapa, Hakuna mume wa miujiza utashushiwa na Mungu bila kupitia hizi njia mnazozi-escape.

Narudia tena nakukaza maneno hakuna ndoa ya muujiza, hakuna mume wa muujiza, kawaulizeni mama zenu,shangaz na dada zenu walioolewa waliweza vipi? Jibu utalipata kuwa waliolewa sababu hawakuwa jeuri kma mlivyo ninyi masista duu.

Mficha uchi azai, yaan upigike Age yoote ya 18-20s then uje umuuzie nani chuma chakavu age ya30s?? Labda uwe lishangazi na pesa zako uwahonge vijana wadogo yaani uwaowe wew.

Hata wazee hawataki kuoa wazee wenzao, sasa sjui itakuwaje kwenu vyuma chakavu.

Naona umeanza kushituka wakati kushakucha, yaan inshort tunasema it's too late but usikate tamaa, muda unao bado, kma huyo sharobaro wako anakupotezea muda, ropoka now unaweza pata husband material humu ukabadiri ratiba nzima ya maisha yako.

Muda ni sasa, hii iwafikie wadada woote wenye age26-30 wenye ndoto za kuolewa lkn hawajaolewa sabbu ya tabia zao za ujanja wa kishamba

Huu ndio ukweli ambao wengi humu hawatokuambia.

The bitter truth [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…