Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Kujenga career?!! That would make sense kama humo ndani ya nyumba kunatokea contribution ya maana. Humo kwa munyumba billz zote nalipa mie mume sasa hiyo career ya mwanamke inafaida gani kwangu.


Ah wapi mie mwanamke ata awe na phd yake namwambia kabisa wewe ni chombo changu cha starehe period, ur dgrees are of no use to me
Ila we jamaa kiboko na nusu🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
 
Tfuta
Hello wakuu!,

Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona? Maisha yanaendaje? Ushauri wenu ni upi kwa wengine?.

Kumekuwa na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.

Zamani mtaani kwetu nilikuwa nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekuwa huyo aunt pia aah😂.

Karibuni na muwe na Jumapili njema.
Tafuta ka chalii ukalee shauri zako. Wanaume tupo wachache au wewe mpende tu msela asie na maisha mtunze
 
Back
Top Bottom