Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]poleee sana🙂🙂 🙁🙁
Thanx ma love D..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]poleee sana
Hahahh..! Eti nilikupa namba yangu inaweza kuwa kweli ingawa sikumbuki nilikupa ufanyeje, kumbukumbu zangu zinaniambia sikuwahi kukutamani tangu nikuone..!Poleee sana ndugu umesahau ulinipa no yako sjakutafuta haya povuka kadri uwezavyo najua tu lazima upovuke
Una mimba?Nikizaa mtoto kiume nitampa jina lakeeee
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ngja nikupotezee tu haina maana hya endelea kupovuka ukimalizaa nambie nijeee na mmHahahh..! Eti nilikupa namba yangu inaweza kuwa kweli ingawa sikumbuki nilikupa ufanyeje, kumbukumbu zangu zinaniambia sikuwahi kukutamani tangu nikuone..!
Bila shaka ata mr. Matunguri anajiuguza tuu, hajazeeka kivile mpk umtembeze mwendo wa mateka labda ajitoe sadaka tuu.
Mbona hivi???[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ngja nikupotezee tu haina maana hya endelea kupovuka ukimalizaa nambie nijeee na mm
we ya kwako si umekula mwenyewWapo kweli?
Ngoja tuwasubiri
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]haya mambo ndo wanayataka wana jf sasa wacha tuende sawaaaMbona hivi???
Jifanye humuoni[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]haya mambo ndo wanayataka wana jf sasa wacha tuende sawaaa
Unafiki unafikini
Hahahhhh Schoolmate buuana ukialikwa nialike na mimi please tukakule pilau na ubwabwaKama kichwa cha habari hapo juu, mliofunga ndoa kutokana na JF, mlikumbuka kutoa shukran kwa Max Mello?
Si uugwana kuto kutoa asante katika jamii yetu.
Mkimualika kama yuko busy mimi si mind kuja badala yake au kwa niaba yake.
Saiv natulia tu lakin sku yajaaaaJifanye humuoni
Come down sweetheartSaiv natulia tu lakin sku yajaaaa
Wakike utampa jina gani sasa [emoji23][emoji23][emoji23]Nikizaa mtoto kiume nitampa jina lakeeee
KhaaaaaMxeeew mm mtoto mbich jf nzimaa hakuna msichana mdog kama mm
Msalimie espy [emoji4]Kila la kheri
Mungu azidi kukuweka wallah vileeMxeeew mm mtoto mbich jf nzimaa hakuna msichana mdog kama mm