Wale mliosema Simba SC ya Olivieira ilicheza Mechi ovyo, je, Simba SC ya leo ya Mgunda imecheza Mpira mzuri?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Haya leo Mswahili Mwenzenu Kocha Msaidizi Mgunda kaachiwa Timu je, Simba SC licha ya Kushinda na Kuhemewa na Coastal Union FC kila Saa huku katikati ( Midfield ) ikiwa imezidiwa vilivyo imecheza ule Mpira mkubwa mliokuwa mnamsifia nao Mswahili Mwenzenu Kocha Msaidizi Mgunda?

Mkiambiwa hamjui Mpira mnanuna.
 
Acheni upuuzi wenu.Mnatakiwa kujua kila mechi inakuwa na malengo yake.

Mechi hii Simba hawakuwa wameamua kufunga goli nyingi wala kukimbia sana kwani ni mechi ya mtoano,na pia wana reserve energy kwa mechi zijazo.

Hawa coastal walicheza kama fainali.Na utaona mechi ijayo watakavyopigwa kirahisi na timu yoyote watakayokutana nayo.

Timu nyingi zinazokutana na Simba,wakicheza kwa kuikamia mechi,mechi zao zinazofuata huwa wanapoteza kwa wapinzani wao.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mgunda kimbinu hatishi zaidi ya kutoa uhuru kwa wachezaji wapigane. Jana hata sub hazikuwa kimbinu na timu ilicheza vile vile. Bila mzungu akina Raja hatutoboi na akina Mgunda. Hatua za awali tulikutana na timu nyepesi tu!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Haya leo Mswahili Mwenzenu Kocha Msaidizi Mgunda kaachiwa Timu je, Simba SC licha ya Kushinda na Kuhemewa na Coastal Union FC kila Saa huku katikati ( Midfield ) ikiwa imezidiwa vilivyo imecheza ule Mpira mkubwa mliokuwa mnamsifia nao Mswahili Mwenzenu Kocha Msaidizi Mgunda?

Mkiambiwa hamjui Mpira mnanuna.
Niliwahi kusema humu. Wachezaji wa Simba siyo robots [emoji880] nao pia watu wanahitaji mapumziko. Baada ya Mapinduzi ilipaswa wachezaji waliyo tumika sana wapewe mapumziko ya mda. Yanga waliyafanya haya na bado hajawa timamu sembuse Simba iliyounganisha Dubai na tizi la kufa mtu. Ni fatigue inasumbua wachezaji . Mtawalaumu bure tu. Mziki wa kucheza mfulilizo ni wachezaji viwango vya Ulaya na hata hao3 some time wanatepeta
 
Ball possession isiyo na outcome is nothing! Jana kwa tulivyocheza ilibidi Chama apumzike, alipoza sana mashambulizi! Hayo maamuzi Mgunda hawezi!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Yes, Jana Chama ilibidi apumzishwe mapema sana dk za 60' ivii.

Na pia Simba wanatakiwa wajue Saidoo sio mtu wa kucheza dakika zote 90.

Saidoo ataku-offer vitu vizuri kwa dk 60 za mchezo baada ya hapo uwa anapoteana na kuwa na impact ndogo hii ni tanguu yupo Yangaa.
 
Acheni upuuzi wenu.Mnatakiwa kujua kila mechi inakuwa na malengo yake.

Mechi hii Simba hawakuwa wameamua kufunga goli nyingi wala kukimbia sana kwani ni mechi ya mtoano,na pia wana reserve energy kwa mechi zijazo.

Hawa coastal walicheza kama fainali.Na utaona mechi ijayo watakavyopigwa kirahisi na timu yoyote watakayokutana nayo.

Timu nyingi zinazokutana na Simba,wakicheza kwa kuikamia mechi,mechi zao zinazofuata huwa wanapoteza kwa wapinzani wao.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mpira wa wapi huu?? Yaani mechi ambayo ukifungwa unatoka ndo team iingie na approach ya kutokukimbia Sana na kufunga magoli machache?? Je Coastal wangefunga goal unafikiri nini kingetokea?? Ingekuwa mechi ina second leg ningesema sawa lakn ni mechi moja tu ukifungwa out af useme wachezaji hawakutaka kutumia energy kubwa wala kufunga magoli mengi tena kwenye mechi ya mtoano?? Poor Poor Poor, think critically
 
Haya leo Mswahili Mwenzenu Kocha Msaidizi Mgunda kaachiwa Timu je, Simba SC licha ya Kushinda na Kuhemewa na Coastal Union FC kila Saa huku katikati ( Midfield ) ikiwa imezidiwa vilivyo imecheza ule Mpira mkubwa mliokuwa mnamsifia nao Mswahili Mwenzenu Kocha Msaidizi Mgunda?

Mkiambiwa hamjui Mpira mnanuna.
Amefuata maelekezo ya Oliviera
 
Yes, Jana Chama ilibidi apumzishwe mapema sana dk za 60' ivii.

Na pia Simba wanatakiwa wajue Saidoo sio mtu wa kucheza dakika zote 90.

Saidoo ataku-offer vitu vizuri kwa dk 60 za mchezo baada ya hapo uwa anapoteana na kuwa na impact ndogo hii ni tanguu yupo Yangaa.
Mlisema mna pira Dubai, liko WAPI?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Mm naona tangu amekuja kocha mpya ndio changamoto imeanzia hapo. ..amebadili mfumo wa mwanzo kiakili nauchezaji pia hata jana nimfumo wa kocha mpya.yamgunda ilikua inacheza unaona
 
Kuna yule israel patrick mwenda simuoni
Huyu kapombe angetupisha.
Zimbwe ameanza kuchoka wangetafuta mbadala.
Baleke ni mfungaji mzuri bado ajakaa kwenye mfumo wa chama
Onyango, kennedy, outtara, Haya ni Madunduka yatupishe
Tunataka wachezaji wenye speed kama sakho.kifupi kuna wachezaji wengi tu wa simba ni Madunduka.sioni tukichukua ubingwa this time
 
Acheni upuuzi wenu.Mnatakiwa kujua kila mechi inakuwa na malengo yake.

Mechi hii Simba hawakuwa wameamua kufunga goli nyingi wala kukimbia sana kwani ni mechi ya mtoano,na pia wana reserve energy kwa mechi zijazo.

Hawa coastal walicheza kama fainali.Na utaona mechi ijayo watakavyopigwa kirahisi na timu yoyote watakayokutana nayo.

Timu nyingi zinazokutana na Simba,wakicheza kwa kuikamia mechi,mechi zao zinazofuata huwa wanapoteza kwa wapinzani wao.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mbona Azam FC aliwagonga na akaendelea kuwagonga wengine
 
Back
Top Bottom