Acheni upuuzi wenu.Mnatakiwa kujua kila mechi inakuwa na malengo yake.
Mechi hii Simba hawakuwa wameamua kufunga goli nyingi wala kukimbia sana kwani ni mechi ya mtoano,na pia wana reserve energy kwa mechi zijazo.
Hawa coastal walicheza kama fainali.Na utaona mechi ijayo watakavyopigwa kirahisi na timu yoyote watakayokutana nayo.
Timu nyingi zinazokutana na Simba,wakicheza kwa kuikamia mechi,mechi zao zinazofuata huwa wanapoteza kwa wapinzani wao.
Sent from my Infinix X626 using
JamiiForums mobile app