GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama ulivyo wewe na mkeoSimba ni timu ya hovyo
Utopolo team kabwiliSimba ni timu ya hovyo
Mgunda kimbinu hatishi zaidi ya kutoa uhuru kwa wachezaji wapigane. Jana hata sub hazikuwa kimbinu na timu ilicheza vile vile. Bila mzungu akina Raja hatutoboi na akina Mgunda. Hatua za awali tulikutana na timu nyepesi tu!Haya leo Mswahili Mwenzenu Kocha Msaidizi Mgunda kaachiwa Timu je, Simba SC licha ya Kushinda na Kuhemewa na Coastal Union FC kila Saa huku katikati ( Midfield ) ikiwa imezidiwa vilivyo imecheza ule Mpira mkubwa mliokuwa mnamsifia nao Mswahili Mwenzenu Kocha Msaidizi Mgunda?
Mkiambiwa hamjui Mpira mnanuna.
Niliwahi kusema humu. Wachezaji wa Simba siyo robots [emoji880] nao pia watu wanahitaji mapumziko. Baada ya Mapinduzi ilipaswa wachezaji waliyo tumika sana wapewe mapumziko ya mda. Yanga waliyafanya haya na bado hajawa timamu sembuse Simba iliyounganisha Dubai na tizi la kufa mtu. Ni fatigue inasumbua wachezaji . Mtawalaumu bure tu. Mziki wa kucheza mfulilizo ni wachezaji viwango vya Ulaya na hata hao3 some time wanatepetaHaya leo Mswahili Mwenzenu Kocha Msaidizi Mgunda kaachiwa Timu je, Simba SC licha ya Kushinda na Kuhemewa na Coastal Union FC kila Saa huku katikati ( Midfield ) ikiwa imezidiwa vilivyo imecheza ule Mpira mkubwa mliokuwa mnamsifia nao Mswahili Mwenzenu Kocha Msaidizi Mgunda?
Mkiambiwa hamjui Mpira mnanuna.
Ball possession isiyo na outcome is nothing! Jana kwa tulivyocheza ilibidi Chama apumzike, alipoza sana mashambulizi! Hayo maamuzi Mgunda hawezi!Usiongee sana weka ball possession hapo tuone kama hujatupiga kamba
Yes, Jana Chama ilibidi apumzishwe mapema sana dk za 60' ivii.Ball possession isiyo na outcome is nothing! Jana kwa tulivyocheza ilibidi Chama apumzike, alipoza sana mashambulizi! Hayo maamuzi Mgunda hawezi!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mpira wa wapi huu?? Yaani mechi ambayo ukifungwa unatoka ndo team iingie na approach ya kutokukimbia Sana na kufunga magoli machache?? Je Coastal wangefunga goal unafikiri nini kingetokea?? Ingekuwa mechi ina second leg ningesema sawa lakn ni mechi moja tu ukifungwa out af useme wachezaji hawakutaka kutumia energy kubwa wala kufunga magoli mengi tena kwenye mechi ya mtoano?? Poor Poor Poor, think criticallyAcheni upuuzi wenu.Mnatakiwa kujua kila mechi inakuwa na malengo yake.
Mechi hii Simba hawakuwa wameamua kufunga goli nyingi wala kukimbia sana kwani ni mechi ya mtoano,na pia wana reserve energy kwa mechi zijazo.
Hawa coastal walicheza kama fainali.Na utaona mechi ijayo watakavyopigwa kirahisi na timu yoyote watakayokutana nayo.
Timu nyingi zinazokutana na Simba,wakicheza kwa kuikamia mechi,mechi zao zinazofuata huwa wanapoteza kwa wapinzani wao.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Amefuata maelekezo ya OlivieraHaya leo Mswahili Mwenzenu Kocha Msaidizi Mgunda kaachiwa Timu je, Simba SC licha ya Kushinda na Kuhemewa na Coastal Union FC kila Saa huku katikati ( Midfield ) ikiwa imezidiwa vilivyo imecheza ule Mpira mkubwa mliokuwa mnamsifia nao Mswahili Mwenzenu Kocha Msaidizi Mgunda?
Mkiambiwa hamjui Mpira mnanuna.
Mie Simba ya kishingo na uchebeJapo Mimi ni Simba damu ila Kiukweli Simba ya Pablo wa Rili Madirid ilikuwa Bora sana kuliko hii Simba ya dokta mgunda+ matola+mtunisia+muuza matikiti kutoka brazili
Simba ni zaidi ya futuhi[emoji23][emoji23][emoji23]
Mlisema mna pira Dubai, liko WAPI?Yes, Jana Chama ilibidi apumzishwe mapema sana dk za 60' ivii.
Na pia Simba wanatakiwa wajue Saidoo sio mtu wa kucheza dakika zote 90.
Saidoo ataku-offer vitu vizuri kwa dk 60 za mchezo baada ya hapo uwa anapoteana na kuwa na impact ndogo hii ni tanguu yupo Yangaa.
Kanoute na Sawadogo sio viungo ?katikati pale simba viungo bado hamna yaan shimo kubwa simba viungo hamna kama uliangalia mpira vizur jana dimba la kati walilitawala sana coastal zaid ya 79%
Mbona Azam FC aliwagonga na akaendelea kuwagonga wengineAcheni upuuzi wenu.Mnatakiwa kujua kila mechi inakuwa na malengo yake.
Mechi hii Simba hawakuwa wameamua kufunga goli nyingi wala kukimbia sana kwani ni mechi ya mtoano,na pia wana reserve energy kwa mechi zijazo.
Hawa coastal walicheza kama fainali.Na utaona mechi ijayo watakavyopigwa kirahisi na timu yoyote watakayokutana nayo.
Timu nyingi zinazokutana na Simba,wakicheza kwa kuikamia mechi,mechi zao zinazofuata huwa wanapoteza kwa wapinzani wao.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app