Wale mliosema Simba SC ya Olivieira ilicheza Mechi ovyo, je, Simba SC ya leo ya Mgunda imecheza Mpira mzuri?

Ntaweka mkeka game ijayo ya coastal union.
 
Na bado haitoshi, pamoja na kuwepo na mechi za ligi na Azam Federation cup bado mnataka kucheza mechi ya kirafiki tarehe 5 huku tarehe 3 mkitoka kucheza na Singida
 
Jibu utalipata ukifika ICU ya ugonjwa wa akili
 
Kama umeangalia mpira vzr,utaona coastal waliingia na mabeki watano,watatu wa kati na wawili kama kawaida pembeni.

Then wakajaza viungo watano,bila striker yoyote,kwa haraka tu utajua kuwa walitaka kujilinda ili wafike angalau matuta coz wangefunguka kama kawaida yao wangeumia nyingi.

Sasa mtu unajiuliza timu ina beki tano na viungo tano utachezaje???utapenya vp ili ufunge,zaidi ya kujaribu nje ya box,kama alivyofanya putin.

Halafu sio kila siku ni jumapili kuna siku wapinzani wanakuja na mbinu ngumu,cha muhimu timu bora huwa inashinda kwa hali yyte ile.
 

mkuu kabisa uko serious unasema onyango na kennedy waondoke????sidhani kama unajua unachosema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…