Wale Mliosoma Kitabu cha Poor Dady Rich Dady Miaka 10 iliyopita sasa hivi mna miliki Bilioni Ngapi ngapi?

Vizuri
 
Yes mkuu, kuna now ma milionea waliobet kwenye cryptos aisee. Sema si tanzania
 
Haujamjibu swali lake, kame nawe ni mmoja wa waliosoma hicho kitabu anaomba mrejesho kwa "umefikisha bilioni ngapi mpaka sasa". He just wants to be motivated.
Hahahaha.....

Nimekuwa na marafiki kadhaa walioacha mpaka shule; mmoja aliacha tukiwa Advance, mwingine akaacha tukiwa 1st Year.... baadae wakarudi shule na kuendelea kutafuta ajira

Cha muhimu..... soma kitabu, elewa, halafu rudi uone namna ya kuweka hizo akili kwenye mazingira yetu
 
Jamaa akishasoma kitabu anajiona kashakuwa tajiri anaanza kejeli
 
Ubahili unasaidia sana, hususani kwa wanaosaka utajiri from first generation
 
Uko sahihi kabisa nami nasisitiza vitabu vina madini sana nami nimesoma vitabu, hivyo kunakitabu nimesoma kinahusu gratitude/kushukuru kwa dogo na kubwa kwenye maisha utavuta baraka nyingi kwenye maisha akaenda mbali na kusema unatakiwa kuwa kidaftari cha kuandika shukrani ya matukio yote ambayo yametokea kwa siku, hii inakusaidia kuwa katika hali ya kushukuru na kuremain positive muda wote, lastly waandishi wao lengo lao hata aya moja iweze kuwa msaada kwako hivyo tusome vitabu maana kwenye kitabu aya moja tu inaweza kubadili mtazamo na maisha yako kwa ujumla.
 
Dismas lyassa?nami pia nilimsoma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…