BIG DOGG
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 1,869
- 2,707
Acha watutukane ila muda utawapa ukweliVery true. Ni multifactorial.
Sasa vijana hawajui hii. Kila kitu wanakurupuka tu na kuanza kututukana sisi kaka zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha watutukane ila muda utawapa ukweliVery true. Ni multifactorial.
Sasa vijana hawajui hii. Kila kitu wanakurupuka tu na kuanza kututukana sisi kaka zao
Hiki na Watawala wa Afrika wanakisoma kweli au dharau tu?The power of karma- hii ndo balaa hasa ukielewa hii utaishi vizuri wewe na kizazi chako
kiingereza shida sasa watosamajeHiki na Watawala wa Afrika wanakisoma kweli au dharau tu?
Si haba.....hongeraTupo hapa. Mimi nina Tv 32' kupitia hicho kitabu
VizuriMimi nimesoma vitabu hivi
The power of subconscious mind -ukisoma kitabu hiki na ukakielewa basi utapata a lot of opportunities in your life.
The low of attraction - ukisoma hiki kitabu utakuwa MTU chanya Sana hauwezi Kuwa MTU wa kulalamika kila wakati na utajua umuhimu wa kujiwazia mema .
Nimesoma the magic - hiki kinaelezea nguvu ya shukurani ukiwa MTU wa kushukuru your life will change completely you will never remain the same .
The power of karma- hii ndo balaa hasa ukielewa hii utaishi vizuri wewe na kizazi chako .
Rich dady poor daddy - hii inakujenga kuwa na nidhamu ya pesa , na uwekezaji
Kuhusu vitabu vinasaidia sana kiukweli.
Ndo maana MTU Kama Mshana Jr na the like hauwezi kuwakuta wanalalamikia watu hovyo au kuwa negative
"Someni vitabu hasa nyie waswahili mtajifunza na kuelewa Kuwait your life 100% inatoka na kile kilichomo kichwani"
Your thoughts creates things.
KaribuVizuri
Yes mkuu, kuna now ma milionea waliobet kwenye cryptos aisee. Sema si tanzaniaMimi sababu yangu ni hyo mkuu kila mtu anasababu yake mimi nilijifunza ku save nilikuwa naweka laki mbili kila mwezi.
Ulishawahi kuona tajiri ambaye chimbuko lake ni hela za kubet licha ya kushinda mabilion au wastaafu au wale wanaouza Mali za ndugu zao baada ya kufariki?
Crypt is another ScamYes mkuu, kuna now ma milionea waliobet kwenye cryptos aisee. Sema si tanzania
Ndio yule jamaa walimkusanyikiz akawa anakimbia katikati yao?😅😅Kule jukwaa la siasa kwa haya haya mambo yako
We utakuja kupigwa wewe alafu huto tetewa 😄😄😄😄Ndio yule jamaa walimkusanyikiz akawa anakimbia katikati yao?😅😅
Mkuu bitcoin nchi kama japan, russia zinafikiria kuitumia kama foreign reserve.Crypt is another Scam
Hahahaha.....Haujamjibu swali lake, kame nawe ni mmoja wa waliosoma hicho kitabu anaomba mrejesho kwa "umefikisha bilioni ngapi mpaka sasa". He just wants to be motivated.
Jamaa akishasoma kitabu anajiona kashakuwa tajiri anaanza kejeliHahahaha.....
Nimekuwa na marafiki kadhaa walioacha mpaka shule; mmoja aliacha tukiwa Advance, mwingine akaacha tukiwa 1st Year.... baadae wakarudi shule na kuendelea kutafuta ajira
Cha muhimu..... soma kitabu, elewa, halafu rudi uone namna ya kuweka hizo akili kwenye mazingira yetu
Ubahili unasaidia sana, hususani kwa wanaosaka utajiri from first generationMwaka 2002 nilikuwa na kitabu cha saikolojia na maisha cha bwana mmoja aliitwa Dismas, aisee kilinisaidiaga nilikuwa bahili na mchumi kweli, mpk kufikia kuwa na kijibanda na mabanda, japo nilifuliamo baadae, yule bwana sijui alifiaga wapi,nadhani sijui kaacha kutoa vitabu
Nakumbuka mmoja akaniambia, wewe endelea na shule nitakuja kukuajili mimi.... nikamwambia "usinisahu kwenye ufalme wako"Jamaa akishasoma kitabu anajiona kashakuwa tajiri anaanza kejeli
Waliosoma waje na ushuhudaUkisoma kitabu cha nje ya nchi, muhimu kutafsiri katika mazingira yako.
Uko sahihi kabisa nami nasisitiza vitabu vina madini sana nami nimesoma vitabu, hivyo kunakitabu nimesoma kinahusu gratitude/kushukuru kwa dogo na kubwa kwenye maisha utavuta baraka nyingi kwenye maisha akaenda mbali na kusema unatakiwa kuwa kidaftari cha kuandika shukrani ya matukio yote ambayo yametokea kwa siku, hii inakusaidia kuwa katika hali ya kushukuru na kuremain positive muda wote, lastly waandishi wao lengo lao hata aya moja iweze kuwa msaada kwako hivyo tusome vitabu maana kwenye kitabu aya moja tu inaweza kubadili mtazamo na maisha yako kwa ujumla.Mimi nimesoma vitabu hivi
The power of subconscious mind -ukisoma kitabu hiki na ukakielewa basi utapata a lot of opportunities in your life.
The low of attraction - ukisoma hiki kitabu utakuwa MTU chanya Sana hauwezi Kuwa MTU wa kulalamika kila wakati na utajua umuhimu wa kujiwazia mema .
Nimesoma the magic - hiki kinaelezea nguvu ya shukurani ukiwa MTU wa kushukuru your life will change completely you will never remain the same .
The power of karma- hii ndo balaa hasa ukielewa hii utaishi vizuri wewe na kizazi chako .
Rich dady poor daddy - hii inakujenga kuwa na nidhamu ya pesa , na uwekezaji
Kuhusu vitabu vinasaidia sana kiukweli.
Ndo maana MTU Kama Mshana Jr na the like hauwezi kuwakuta wanalalamikia watu hovyo au kuwa negative
"Someni vitabu hasa nyie waswahili mtajifunza na kuelewa Kuwait your life 100% inatoka na kile kilichomo kichwani"
Your thoughts creates things.
Dismas lyassa?nami pia nilimsoma sanaMwaka 2002 nilikuwa na kitabu cha saikolojia na maisha cha bwana mmoja aliitwa Dismas, aisee kilinisaidiaga nilikuwa bahili na mchumi kweli, mpk kufikia kuwa na kijibanda na mabanda, japo nilifuliamo baadae, yule bwana sijui alifiaga wapi,nadhani sijui kaacha kutoa vitabu
sijui kapotelea wapiDismas lyassa?nami pia nilimsoma sana