Wale mliowahi chomoa "ndom" katikati ya game

Wale mliowahi chomoa "ndom" katikati ya game

.but ni risk kubwa sana kuuza mechi amani ya moyo hamna unaanza kuwaza U.T.I,GONO,PANGUSA N.K
emoji26.png
emoji26.png
Kuna kipindi nilikaribia kufa kwa mawazo.
 
Baada ya kumpiga round 3 ndom zikawa zimeisha Dem akaniambia nimpige pekupeku hivyo hivyo eti nimwagie nje, nikakataa maana ule ulikua ni mtego wa yule singo maza

Sent using Gun Trigger
Kwahiyo uliahirishA game!? Una ujasiri mkuu. Hongera
 
Mliambiwa nini na na hao wapenzi wenu hadi mkakubali na kwenda nyama kwa nyama..

Ulishawishi vipi hadi akakubali!?

Na wewe uliyekubali hadi ukaamua ku take risk..ulipigwa sound gani!?.

Hii ni kwa wotE. Men and Women.
Tupeane mauzoefu.
Daah matumizi ya Condom ww yaache tu
.. unamjua mtu leo ... mnatumia kondom kama week mbili za mwanzo ...baada ya hapo mnaanza kuteleza free ..mshapimana kwa macho.. ,,,,[emoji3][emoji16]... Ni mwendo wa kujiunga kwenye Grid ya Taifa tu ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijaribu huo mchezo kwenye nchi za watu...Ufanye kwa raha zako bongo tu ila ukifika JNIA temana nao uusahau kabisa.Rafiki yangu hadi leo haamini kilichomkuta.
Unaitwa Stealthing kama sikosei.
 
Kuna Kapisi Nilikaelewa Sana Ile Siku Kamekubali Kakakataa Kutumia Ndom, Kakanambia Kapo Ok Hivo Kama Nami Nipo Fit Basi Tuchape Game Dah! Nilichapa Japo Kwa Woga

Kapime mzeeh

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Daah matumizi ya Condom ww yaache tu
.. unamjua mtu leo ... mnatumia kondom kama week mbili za mwanzo ...baada ya hapo mnaanza kuteleza free ..mshapimana kwa macho.. ,,,,[emoji3][emoji16]... Ni mwendo wa kujiunga kwenye Grid ya Taifa tu ..

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😁😁🙌🙌🙌
 
Usijaribu huo mchezo kwenye nchi za watu...Ufanye kwa raha zako bongo tu ila ukifika JNIA temana nao uusahau kabisa.Rafiki yangu hadi leo haamini kilichomkuta.
Unaitwa Stealthing kama sikosei.
Tupe hilo somo vizuri.

Lakini kumbuka wakati mwingine mwanamke ndo anaetaka.
Na bongo madem wanasema ndom zinawaletea muwasho.
 
Usijaribu huo mchezo kwenye nchi za watu...Ufanye kwa raha zako bongo tu ila ukifika JNIA temana nao uusahau kabisa.Rafiki yangu hadi leo haamini kilichomkuta.
Unaitwa Stealthing kama sikosei.
TOP DEFINITION
Stealthing
When a man removes condom during sex without his partners knowledge or consent.
Legally considered a form of rape or sexual assault in some places. Considered a shitty thing to do everywhere else.

Nimeipata mzee. So hii Sheria Bongo ipo!??
 
ha ha ha! nikiwa namwandaa natest mitambo peku kwanza... asilimia 97 huwa wanakubali kabisa hata wakukutana siku moja.....

ile 3% ambayo hukataa katakata peku huwa navaa halafu napeleka moto mkali sana, sek 50 tu inakuwa imepasuka anasituka mabeberu hawaaaa!
 
Back
Top Bottom