Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
But they are all carbonated drinks.Iphone and Samsung are coke and Pepsi while tecno is Fursana [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Was my point at first... Mtu aweza kutazama izo coke na Heineken bila habari akishusha zake ulanzi taratiiibu!!Duh...anyway wengine ulanzi ni tamu kuliko heineken
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hayaaaIphone and Samsung are coke and Pepsi while tecno is Fursana [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Daah wanaume nao wana kazi kweliMimi mwanaume akitumia Tecno heshima yake inashuka [emoji2]
[emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Iphone and Samsung are coke and Pepsi while tecno is Fursana [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Baada ya siku mbili unakuta huyu huyu anaanzisha thread. Msaada jamani simu yangu ya Tecno haiconnect data
Duh...kwahio ushanishusha?!
Wewe Unatumia Ipi?Mimi mwanaume akitumia Tecno heshima yake inashuka [emoji2]
MWANAUME WA KWELI HUTUMIA DUME KONDOMUMwanaume wa ukweli kamwe hatumii tecno
Ishu sio ubora simu ikishauzwa kama mchicha sokoni basi hupoteza heshima yakeMkuu hata mm mwanzo nilizidharau sn techno lakini sasa nazielewa sn tu....ni simu nzr tu....tatizo la WATANZANIA NI kupenda KUDHARAU MAJNA MAPYA YA VITU...bila kuangalia UBORA WAKE.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo kwangu mi natumia iphone 10Mwanaume wa ukweli kamwe hatumii tecno
Inauzwa kama mchicha kivipi?Ishu sio ubora simu ikishauzwa kama mchicha sokoni basi hupoteza heshima yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Elfu ishirini unapata tecno,na simu zao za bei hazizidi laki 7 hata itoke leo na iwe na kila kituInauzwa kama mchicha kivipi?