Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
eeeh mwanaume utatumiaje tecno hizo achia housegirls and students
Mambo ya teknolojia hayo mkuu...nashangaa tu.Sio utani brother...
Yani ni camera na nikiwa mahali kwenye wifi ndo naweza kuitumia. Ila tecno yangu ni ile C8 so camera yake ni fairly good...
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini huwezi tecno mpaka useme ni heri uwe na kitochi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna mkuu, wengine tupo samsung za kawaida tu hizi version za J
Kiukweli kama sina hela ya kununua samsung ni heri nitumie kitorch ila sio tecno.
Ila siwezi mdharau mtumiaji wa tecno maana heshima haipimwi kwa vitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zinazingua nini?Hahahahahahaaa tecno techno tekno what ever you call it mm naona zinazingua tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umeipaisha ivo ii tecno ni Tingisha chibuku,Iphone and Samsung are coke and Pepsi while tecno is Fursana [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sio kweli. Nina Tecn mwaka wa nne sijaona hilo tatizo.Kwa mnaotumia Tecno poleni kwa matatizo haya..
1- unapokea msg kutoka tigo, basi kila utakapowasha simu msg hiyo hiyo inaingia...
2- unafuta msg leo, kesho unazikuta zote...
3- simu yako mpya leo inapiga picha quality kabisa after 3months camera inapoteza ubora..
4-.................... nk.
Nyie ni wavumilivu kwakweli, ninaimani mwanamke anayetumia Tecno kwa miaka 2 tu, anaweza kuvumilia changamoto za kwenye ndoa kwa miaka mingi sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata uwe na iphone8 sijui s7 mlipuko, s8 unanizidi nini mimi mwenye l8. Napenda kumbukumbu, camera kali mpaka picha yenye mb3, na bei pungufu saana. Ndo maana ya uchumi: high production with lesser resources. Hakuna kinachofanywa kwenye S8 ambacho siwezi fanya kwa l8.
Kwani kutumia Tecno ni UCHOCHEZI?na kama unaishi kwako na unatumia tecno kapime mkojo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetaja 3, lipi hujaliona?Sio kweli. Nina Tecn mwaka wa nne sijaona hilo tatizo.
Mwanaume wa ukweli kamwe hatumii tecno
Wacha ubwege hujui unachopinga bei za tecno huanzia hiyo tecno ya 20000 mpaka tecno inayouzwa 700000 ndio maana yanguMchicha wa 20,000/= mpaka laki 7 unauzwa wapi? Acha ujinga wewe. Una simu ya 1.5 M afu unaishi kwa Shemeji then unawananga watumia tecno?
Jibu hoja acha matusi.Wacha ubwege hujui unachopinga bei za tecno huanzia hiyo tecno ya 20000 mpaka tecno inayouzwa 700000 ndio maana yangu
Sent using Jamii Forums mobile app