Wale Mnaotuponda Watumiaji wa Tecno....

Wale Mnaotuponda Watumiaji wa Tecno....

Tunatumia Tecno tunadharauliwa sana humu, eti simu hazina kiwango hazitambuliki kimataifa!

Kumbe Tecno jina kubwa hadi UK zipo,hapa nimeambatanisha tangazo kwenye mechi ya Premier League jijini Manchester, Etihad Stadium Tecno inatesa...

I love my Tecno Woreva....View attachment 571915


Woii huku Hawaii tecno haifanyi kazi...nimebaki na msimu wao kama camera!!!
 
Hao Waongo Tekno Ndo Baba Yao Kwasasa Mie Nawaambia Kwa Wale Wapenda Show Off Wakatafte Tekno Canno Cx Ina Kamera HD mpaka sisimizi anaonekana kamera ya mbele 16MP Na yanyuma 32MP
Mimi Tecno P6 yangu nilinunua 2014 mpaka leo iinadunda!
 
Ha ha ha hii mpya.....
Sio utani brother...

Yani ni camera na nikiwa mahali kwenye wifi ndo naweza kuitumia. Ila tecno yangu ni ile C8 so camera yake ni fairly good...

d506a7b6f6edb711daf155d53ad332d3.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu asietumia Tecno anatumia Iphone au S6,7,8
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna mkuu, wengine tupo samsung za kawaida tu hizi version za J

Kiukweli kama sina hela ya kununua samsung ni heri nitumie kitorch ila sio tecno.

Ila siwezi mdharau mtumiaji wa tecno maana heshima haipimwi kwa vitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom