Wale Mnaotuponda Watumiaji wa Tecno....



Woii huku Hawaii tecno haifanyi kazi...nimebaki na msimu wao kama camera!!!
 
Hao Waongo Tekno Ndo Baba Yao Kwasasa Mie Nawaambia Kwa Wale Wapenda Show Off Wakatafte Tekno Canno Cx Ina Kamera HD mpaka sisimizi anaonekana kamera ya mbele 16MP Na yanyuma 32MP
Mimi Tecno P6 yangu nilinunua 2014 mpaka leo iinadunda!
 
Humu asietumia Tecno anatumia Iphone au S6,7,8
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna mkuu, wengine tupo samsung za kawaida tu hizi version za J

Kiukweli kama sina hela ya kununua samsung ni heri nitumie kitorch ila sio tecno.

Ila siwezi mdharau mtumiaji wa tecno maana heshima haipimwi kwa vitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…