Wale Mnaotuponda Watumiaji wa Tecno....

Tuache masikhara...kwa maana ya mwasiliano tekno iko poa.Lakini kwa waelewa wa brand na reputation utaelewa kua tekno ni level ya kawaida...pia its a matter of personal taste.

Kwa mfano mimi simu ni mnazi wa Samsung.
TV ni Samsung..home thetre ni Sony...wakati Friji niko Westpoint.... sijui habari za boss sijui mr.Uk.

[HASHTAG]#Personal[/HASHTAG] taste #Brand#Quality#Affordability

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iphone and Samsung are coke and Pepsi while tecno is Fursana [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] fvck you...!!

sent from my Samsung A8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…