[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sema tecno ni ulanzi...
BTW one might still go for ulanzi regardless coke na Pepsi zipo tele
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watoto wazuri wote tunatumia Tecno wereva[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si eti eeeh?Uko kama mimi mtoto mzuri mwenzangu huwa hata sishitukagi aisee kisa natumia Tecno.
Yaani imebidi nicheke. Eti hali yako,hivi anajua watu wanaishije mjini? Nishakutana na mtu ana biashara zake za maana na anatumia Nokia ta tochi,hana hobby kabisa ya smart phone.Poor Tanzanian, hali ya mtu ataipimaje kwa aina ya simu? Unakuta mtu matumizi yako ya simu ni kawaida tu whatsapp, facebook, instagram huna heavy tasks unazotaka kufanya kwa simu. Unanunua simu ya milioni ya nini? Hawa vijana hawa waache tu.
Ahsante sana team mate wacha tupambane na maisha hizo simu ni vionjo tu.Karibu team mate [HASHTAG]#TeamWoreva[/HASHTAG]
Kabisa aisee. Wacha tutumie tu mwisho wa siku mwenye iphone sijui samsung wote tuna app ya JF inayofanana. [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watoto wazuri wote tunatumia Tecno wereva[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si eti eeeh?
Pacha hujambo mamyKabisa aisee. Wacha tutumie tu mwisho wa siku mwenye iphone sijui samsung wote tuna app ya JF inayofanana. [emoji23] [emoji23]
Umeonaeee. Maisha hayapimwi na aina ya simu unayotumia hata siku moja aisee.Yaani imebidi nicheke. Eti hali yako,hivi anajua watu wanaishije mjini? Nishakutana na mtu ana biashara zake za maana na anatumia Nokia ta tochi,hana hobby kabisa ya smart phone.
Halafu mtu aje apime wenzie kwa macho tu kisa smartphone ya Tecno wereva,hana akili timamu huyo
Hivi hapa si juzi juzi Jf ilikuwa inaonyesha simu tunazotumia
Tecno walikuwa kibao tu Leo hii mwaziponda
Hahahaha Maisha bila unafiki hayaendi
Wacha mie nifurahi na kamchina kangu ka tochi
Perhaps,But they both quench our thirsty right??
Ila sio ajabu pacha maana hapa wote tuna Maisha mazuriWacha tu pacha. Tuliobaki na tunaokubali kutumia tecno tunahesabika aisee.
Kweli hii ndio jf bana.
Sijambo pacha sijui wewe hali yako.Pacha hujambo mamy
Sijambo pacha sijui wewe hali yako.
Nipo hapa najaribu kujivimbisha na katecno changu si unajua tena. [emoji12]
Hahahaha simu ni simu bwana pacha usijali,mie naendelea vyemaSijambo pacha sijui wewe hali yako.
Nipo hapa najaribu kujivimbisha na katecno changu si unajua tena. [emoji12]
Naipenda Tecno yangu kwa kweli pacha na haijawahi kuisha bando aisee. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila sio ajabu pacha maana hapa wote tuna Maisha mazuri
Furahi na ipende simu yako maana yake haikusaidii kitu
Enjoy mamaNaipenda Tecno yangu kwa kweli pacha na haijawahi kuisha bando aisee. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulishapona pacha au bado unaendelea na dawa?Hahahaha simu ni simu bwana pacha usijali,mie naendelea vyema
Namshukuru Mungu nmeshapona pacha wanguUlishapona pacha au bado unaendelea na dawa?
Vipi huaweiMimi mwanaume akitumia Tecno heshima yake inashuka [emoji2]