Wale Mnaotuponda Watumiaji wa Tecno....

Wale Mnaotuponda Watumiaji wa Tecno....

Uko kama mimi mtoto mzuri mwenzangu huwa hata sishitukagi aisee kisa natumia Tecno.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watoto wazuri wote tunatumia Tecno wereva[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si eti eeeh?
 
Poor Tanzanian, hali ya mtu ataipimaje kwa aina ya simu? Unakuta mtu matumizi yako ya simu ni kawaida tu whatsapp, facebook, instagram huna heavy tasks unazotaka kufanya kwa simu. Unanunua simu ya milioni ya nini? Hawa vijana hawa waache tu.
Yaani imebidi nicheke. Eti hali yako,hivi anajua watu wanaishije mjini? Nishakutana na mtu ana biashara zake za maana na anatumia Nokia ta tochi,hana hobby kabisa ya smart phone.
Halafu mtu aje apime wenzie kwa macho tu kisa smartphone ya Tecno wereva,hana akili timamu huyo
 
Hivi hapa si juzi juzi Jf ilikuwa inaonyesha simu tunazotumia
Tecno walikuwa kibao tu Leo hii mwaziponda
Hahahaha Maisha bila unafiki hayaendi
Wacha mie nifurahi na kamchina kangu ka tochi
 
Umeonaeee. Maisha hayapimwi na aina ya simu unayotumia hata siku moja aisee.

CC. RRONDO team tecno mwenzangu
 
Hivi hapa si juzi juzi Jf ilikuwa inaonyesha simu tunazotumia
Tecno walikuwa kibao tu Leo hii mwaziponda
Hahahaha Maisha bila unafiki hayaendi
Wacha mie nifurahi na kamchina kangu ka tochi

Wacha tu pacha. Tuliobaki na tunaokubali kutumia tecno tunahesabika aisee.

Kweli hii ndio jf bana.
 
Wacha tu pacha. Tuliobaki na tunaokubali kutumia tecno tunahesabika aisee.

Kweli hii ndio jf bana.
Ila sio ajabu pacha maana hapa wote tuna Maisha mazuri
Furahi na ipende simu yako maana yake haikusaidii kitu
 
Ila sio ajabu pacha maana hapa wote tuna Maisha mazuri
Furahi na ipende simu yako maana yake haikusaidii kitu
Naipenda Tecno yangu kwa kweli pacha na haijawahi kuisha bando aisee. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom