Wale Mnaotuponda Watumiaji wa Tecno....

Najaribu kuifananisha techno kama demu ambaye n mweupe uso halafu miguuni ni mweusi hahahhahah ila SUMSUNG/IPHONE heshima yke n kubwa sanaaa
 
Najaribu kuifananisha techno kama demu ambaye n mweupe uso halafu miguuni ni mweusi hahahhahah ila SUMSUNG/IPHONE heshima yke n kubwa sanaaa
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Kama huyu
 
Tatizo tecno yaan mwanzoni wanakuvutia kwa bei nzuri,ila cm ikidumu kwa mwaka mmoja tu,ndo ishakufa mara betri kuvimba mara line haisomi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. England
2. Huawei

Soma comment yangu vyema...
Huawei is basically Tecno. Ni sawa na Audi/VW same thing different badge hence price.

Bado najiuliza sababu ya Tecno kutofanyakazi Hawaii.
 
Huawei is basically Tecno. Ni sawa na Audi/VW same thing different badge hence price.

Bado najiuliza sababu ya Tecno kutofanyakazi Hawaii.

Hata mimi sifahamu kwa kweli...I had to buy another phone for that! nshazoea though...natembea na camera yangu na simu...
 
Nilitaka nijue tu labda una scientific explaination. Sina wasiwasi na Tecn yangu, inafanya kilichonifanya ninunue simu.
Sanaa tuu Mkuu, hata hivo Dunia haikuumbwa ili sote tufanane ndo maana kuna watu weupe na weusi, wafupi na warefu e.t.c
 
Natumia tecno sio kwa mapenzi yangu..ila uchumi umenikaba kipato kikiongezeka nahamia iphone or samsung
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…