abdel lio
Member
- May 20, 2013
- 99
- 74
Kwa hiyo tunaotumia tecno mashoga au una maana gani?Mwanaume wa ukweli kamwe hatumii tecno
Ninatumia tecno nnje nina Volkswagen
Mwingina ana Samsung nnje ana Carina
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo tunaotumia tecno mashoga au una maana gani?Mwanaume wa ukweli kamwe hatumii tecno
Kaka wewe upon England ya wapi maana mimi nilikua Birmingham huawei inafanya kazi kama bongo tuWoii huku Hawaii tecno haifanyi kazi...nimebaki na msimu wao kama camera!!!
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Najaribu kuifananisha techno kama demu ambaye n mweupe uso halafu miguuni ni mweusi hahahhahah ila SUMSUNG/IPHONE heshima yke n kubwa sanaaa
Kama mashoga au madume suruali WerevaaaaKwa hiyo tunaotumia tecno mashoga au una maana gani?
Ninatumia tecno nnje nina Volkswagen
Mwingina ana Samsung nnje ana Carina
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mimi nina Tecno mwaka wa nne huu?Tatizo tecno yaan mwanzoni wanakuvutia kwa bei nzuri,ila cm ikidumu kwa mwaka mmoja tu,ndo ishakufa mara betri kuvimba mara line haisomi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kama ila nakujuza anachokimiliki mtu sio kigezo chakutosha kujua undani wakeKama mashoga au madume suruali Werevaaaa
Kaka wewe upon England ya wapi maana mimi nilikua Birmingham huawei inafanya kazi kama bongo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uhusiano gani hasira na matumizi ya Tecno?Haaaaaahh haaahhh, ni mwendo wa kujipa matumaini, Wakati sensa inaonesha "Watu wengi wanaotumia Tecno wanakuwaga na hasira from no where"
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha nkamuulize mtoa takwimu.! Mkuu mimi ni mjoli tuu sina nia (-) na simu yako Tecno janja.Kuna uhusiano gani hasira na matumizi ya Tecno?
Huawei is basically Tecno. Ni sawa na Audi/VW same thing different badge hence price.
Bado najiuliza sababu ya Tecno kutofanyakazi Hawaii.
Nilitaka nijue tu labda una scientific explaination. Sina wasiwasi na Tecn yangu, inafanya kilichonifanya ninunue simu.Wacha nkamuulize mtoa takwimu.! Mkuu mimi ni mjoli tuu sina nia (-) na simu yako Tecno janja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sanaa tuu Mkuu, hata hivo Dunia haikuumbwa ili sote tufanane ndo maana kuna watu weupe na weusi, wafupi na warefu e.t.cNilitaka nijue tu labda una scientific explaination. Sina wasiwasi na Tecn yangu, inafanya kilichonifanya ninunue simu.