Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Lile tukio la pale Idodomia majuzi limenifanya nione kumbe nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko lile kundi la watu wazima waliokutana Idodomia hivi karibuni.
Yaani nyumbu pamoja na ujinga wao wote, wakitaka kuvuka mto mara kwenda upande wa pili, walau hujaribu kutafakari kidogo juu ya hatari ya kukamatwa na mamba kabla ya kuvuka. Lakini wale mabwana pale Idodomia wala hawakuumiza vichwa kutafakari kabla ya kufanya maamuzi, wote wakaingia katika mkumbo na kufanya maamuzi mazito na muhimu kama watu waliokatwa vichwa!!
Pathetic!!