Wale nyumbu wa serengeti wana akili na maarifa kuliko wale mabwana waliokutana Idodomia na kufanya maamuzi kama watu waliokatwa vichwa

Wewe acha basi 🀣🀣
 
🀣🀣🀣🀣
We kweli nyumbu, kumbe zilikiwa codes mwenyewe?!!!!!!!! Dah, huko unyumbuni Kuna kazi aisee. Acha maalim Mbowe aendelee kujichukulia Chama.
Vipi unahusika?
 
Kweli mwananchi anapata Raw deal kulinganisha na Kodi yake inayotumika kama Ruzuku..., sio mbaya huku JF, Kitaa na kwenye Vijiwe vya Gahawa kama haya ndio yatakuwa mazungumzo baada ya habari.

Lakini sitashangaa hata hao so called alternative hizi ndio zitakuwa story zao badala ya issue at hand (and there are a lot of those to digest); Welcome to Politics of attack and Survival, rather than being champions of the Downtrodden....
 
Katiba wameandika wenyewe, na wavunja wenyewe, yakuwashia nini makalio wewe ??
 
YAANI UKIONA WATU 1000 WAMEFANYA MAAMUZI HALAFU WEWE PEKE YAKO NDIYO UKAONA UKO SAHIHI JUWA KUWA HUNA AKILI UNAJIFARIJI TU
 
Walinikata stimu nilipoona nyumbu wanaanza kuimba na kudansi.. Nikazkma chaneli zote, nikatafuta vichekezo vya mkude na bwakila nisikilizi huku natafuta usingizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…