Wale panya road waliokuwa chini ya miaka 18 wamefungwa jela ya watoto?

Wale panya road waliokuwa chini ya miaka 18 wamefungwa jela ya watoto?

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Katika pilika pilika nyingi tunaweza kusahau plight ya hawa vijana. Kuna mtu yeyote anaweza kufahamu jambo gani limewafika?

Labda Ustawi wa Jamii wanafuatilia mambo haya.
 
Nampongeza mkuu na kaka yetu Simon sirro kwa kumaliza tatizo la panya road kwa asilimia 100,
HONGERA MKUU WETU WA JESHI LA POLICE TANZANIA.
 
Katika pilika pilika nyingi tunaweza kusahai plight ya hawa vijana. Kuna mtu yeyote anaweza kufahamu jambo gani limewafika?
Labda Ustawi wa Jamii wanafuatilia mambo haya.
Kwani walikuwa wavamia watu waliochini ya miaka 18? Wakapambane magereza kama la Karanga pamoja na Jambazi mwenzao Sabaya
 
Wapo mahala salama watakutana na Kaka zao kule watawaonyesha mazingira 😁
 
Back
Top Bottom