Poppy Hatonn JF-Expert Member Joined Apr 9, 2021 Posts 3,095 Reaction score 4,632 Jul 13, 2022 #1 Katika pilika pilika nyingi tunaweza kusahau plight ya hawa vijana. Kuna mtu yeyote anaweza kufahamu jambo gani limewafika? Labda Ustawi wa Jamii wanafuatilia mambo haya.
Katika pilika pilika nyingi tunaweza kusahau plight ya hawa vijana. Kuna mtu yeyote anaweza kufahamu jambo gani limewafika? Labda Ustawi wa Jamii wanafuatilia mambo haya.
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Jul 13, 2022 #2 Nampongeza mkuu na kaka yetu Simon sirro kwa kumaliza tatizo la panya road kwa asilimia 100, HONGERA MKUU WETU WA JESHI LA POLICE TANZANIA.
Nampongeza mkuu na kaka yetu Simon sirro kwa kumaliza tatizo la panya road kwa asilimia 100, HONGERA MKUU WETU WA JESHI LA POLICE TANZANIA.
J Jorojik JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,512 Reaction score 7,912 Jul 13, 2022 #3 Poppy Hatonn said: Katika pilika pilika nyingi tunaweza kusahai plight ya hawa vijana. Kuna mtu yeyote anaweza kufahamu jambo gani limewafika? Labda Ustawi wa Jamii wanafuatilia mambo haya. Click to expand... Kwani walikuwa wavamia watu waliochini ya miaka 18? Wakapambane magereza kama la Karanga pamoja na Jambazi mwenzao Sabaya
Poppy Hatonn said: Katika pilika pilika nyingi tunaweza kusahai plight ya hawa vijana. Kuna mtu yeyote anaweza kufahamu jambo gani limewafika? Labda Ustawi wa Jamii wanafuatilia mambo haya. Click to expand... Kwani walikuwa wavamia watu waliochini ya miaka 18? Wakapambane magereza kama la Karanga pamoja na Jambazi mwenzao Sabaya
Miguel Alvarez JF-Expert Member Joined May 28, 2019 Posts 2,856 Reaction score 5,430 Jul 14, 2022 #4 Wapo mahala salama watakutana na Kaka zao kule watawaonyesha mazingira 😁
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 Jul 14, 2022 #5 Wapo juvenile Mojawapo ipo tanga mjini