Wale samaki wa Hayati Magufuli walikuwa watamu sijapata ona

Wale samaki wa Hayati Magufuli walikuwa watamu sijapata ona

Sasa hivi huku ziwa Victoria wanavuliwa samaki wenye size ya kulingana na ubo* hawana ladha Wala nini,samaki wakubwa wote wamemalizwa kutokana na kusafirishwa ulaya,wazawa tunaishia kula mapanki na kulipwa sh 3000 kutwa ya kuparua samaki.maafisa uvuvi ndio wameneemeka kutokana na rushwa.NCHI IMEJAA WASHENZI SANA
 
😂ikiwezekana wote walitafuna ile minofu wapigwe donation ya kufidia kidogo hasara kwa nchi😂😂
Kabisa.Halafu bila aibu anaelezea ulaini wa minofu ilivyokuwa kwa siku kadhaa.Huyu vipi huyu?
 
Samaki wa baharini wana radha tofauti na maji baridi hao Chuchunge,Tasi, blue fish na pia wakikaangwa na mafuta hawashiki chini wanatoka kama walivyo ni watamu sana huku Chuga tunatembelea kucha ya 1Kg kwa Tsh 10,000....
 
Back
Top Bottom