Wale Team Atletico Madrid tukutane hapa

Wale Team Atletico Madrid tukutane hapa

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Mimi naaamini kabisa, Atletico De Madrid atapambana na hatofungwa leo dhidi ya Juventus.

Ninajivunia safu imara ya ukuta ikiongozwa na Kamanda Kepteni Diego Godin. Licha ya umri wake mkubwa bado ana utulivu mkubwa sana awapo uwanjani. Pia golikipa Jan Oblak ni mhimili mwingine linapokuja suala la ulindaji wa goli. Leo nategemea kuona The best attacking team Vs The best defending team.

Mechi ya aina hii inanikumbusha UCL ya mwaka 2010, Inter Milan ya Mourinho Vs Barcelona ya Guardiola katika hatua ya Nusu Fainali, mechi ya kwanza pale Italia, wanashinda Inter wanashinda 3-1. Mechi ya marudiano pale Nou Camp, Barca alihitaji ashinde 2-0 ili asonge mbele.
Inter walipaki basi la aina yake, dk ya 15 Thiago Motta wa Inter akala umeme, wakabaki watu 10 uwanjani dhidi ya Barca ya Xavi, Iniesta, Messi, Ibrahimovic. Mechi iliisha kwa Barca kushinda 1-0 na Inter wakaingia fainali kwa aggregate 3-2.

Hivyo mechi ya leo naifananisha sana na mechi ile ya Inter Vs Barca. Leo naamini Atletico atashambuliwa sana lakini mwisho wa mchezo watafuzu robo fainali.

Tukutane baadae
 
Mauzi kama haya yanasababishaga hizi timu zishinde juve akifa source ni huu uzi.
 
I'm not on either side. Lakini hapa naangalia offensive Juventus against Defensive Atleti. Ninavyoiona hii game Juventus wasipofanya right decisions mapema pressure itapanda watapigwa counter attack moja game over
 
Inatakiwa Atletico wabadilishe approach second half wapate hata goli moja waue tie once and for all wasisubiri kulinda hadi mwisho maana wanawapa initiative juve ya kushambulia hivyo wanaweza kufungwa mengi. Ila wakishambulia kma 1st leg wakapata goli moja hata juve wakifunga 3 bado watakuwa wamevuka.

Ni muhimu kuchukua risk game kama hizi otherwise utakosa yote...... Pia angemtoa lemar hapo amuingize correa anayeweza kupenya ngome zenye ukuta mgumu kwa kasi yake na dribling skills zake.

Otherwise wakiona mambo magumu amuingize savic amtoe hata griezmann basi wapaki basi mpaka mwisho

Tukutane FT
#AupaAtleti #LosColchoneros
 
ID fake ni nzuri sana, yani hadi A Madrid siku hizi ina washabiki TZ?
Mimi naaamini kabisa, Atletico De Madrid atapambana na hatofungwa leo dhidi ya Juventus.

Ninajivunia safu imara ya ukuta ikiongozwa na Kamanda Kepteni Diego Godin. Licha ya umri wake mkubwa bado ana utulivu mkubwa sana awapo uwanjani. Pia golikipa Jan Oblak ni mhimili mwingine linapokuja suala la ulindaji wa goli. Leo nategemea kuona The best attacking team Vs The best defending team.

Mechi ya aina hii inanikumbusha UCL ya mwaka 2010, Inter Milan ya Mourinho Vs Barcelona ya Guardiola katika hatua ya Nusu Fainali, mechi ya kwanza pale Italia, wanashinda Inter wanashinda 3-1. Mechi ya marudiano pale Nou Camp, Barca alihitaji ashinde 2-0 ili asonge mbele.
Inter walipaki basi la aina yake, dk ya 15 Thiago Motta wa Inter akala umeme, wakabaki watu 10 uwanjani dhidi ya Barca ya Xavi, Iniesta, Messi, Ibrahimovic. Mechi iliisha kwa Barca kushinda 1-0 na Inter wakaingia fainali kwa aggregate 3-2.

Hivyo mechi ya leo naifananisha sana na mechi ile ya Inter Vs Barca. Leo naamini Atletico atashambuliwa sana lakini mwisho wa mchezo watafuzu robo fainali.

Tukutane baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha

Pole sana mjukuu wa shekh yahaya

Vp Mkuu ulikuwa hujui kuwa Cr7 yupo Juventus?
 
Back
Top Bottom