Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm mwenyewe walinipiga BAN lakini nilichowafanya HAWATANISAHAU aiseMods wananionea/walinionea nilihesabu namba kwenye sredi wakanimba ban
Zero IQ
l
NaambatanisHa picha View attachment 1119154
Hahahaa huo uteja hata mimi ninao Shadeeya maana wakati ule jukwaa lilipofungwa tulilifata hadi nchi jiraniSesten Zakazaka unaitwa huku. Teh. Teh 🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Amekuwa zakazaka tena dahSesten Zakazaka unaitwa huku. Teh. Teh [emoji2088][emoji2088][emoji2088]
uliwafanya nini mkuu nambie na mie niwafanyeeeMm mwenyewe walinipiga BAN lakini nilichowafanya HAWATANISAHAU aise
Hatar Sana mkuu unaweza kukosa raha moyoni ukitafakar unakuta ujaingia jf unasaka bandle faster unaingia moyo unatulia.
[emoji3][emoji3][emoji3]damu ya kunguni weweMods wananionea/walinionea nilihesabu namba kwenye sredi wakanimba ban
Zero IQ
l
NaambatanisHa picha View attachment 1119154
uliwafanya nini mkuu nambie na mie niwafanyeee