Wale tulioathirika na JF( mateja)tukutane hapa tujadili

Wale tulioathirika na JF( mateja)tukutane hapa tujadili

Mpaka kazini niliwahi kusemwa nina tatizo gani kidogo tu nashika simu.
 
Bado mgeni wewe unamiezi yako michache utaikumbuka mitandao mingine
 
Ni kweli...

JF ipo very addictive... na pia its not a boring place to be...

Huyu kasema hili, yule kafanya lile, huyu anataka hili, yule kafanyiwa lile, huyu anaomba hiki, yule alipewaga kile... huyu anamchukia huyu, yule kamchoka yule...

Ni mwendo wa burudani...


Cc: mahondaw
 
mm nimekuwa addicted pia nisipoingia Jf nakosa raha, wakti sna bando huwa. nna huzuni , nashukuru free basics
 
Nikipigwa ban natwngeneza email faster naibuka kamaa vampire
Hatar Sana mkuu unaweza kukosa raha moyoni ukitafakar unakuta ujaingia jf unasaka bandle faster unaingia moyo unatulia.
 
Back
Top Bottom