Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Watu waache ubaguzi. Kama enzi za Hayati Dr Magufuli mlifurahi aendelee kutawala endless kwanini ionekane ni kosa kwa Dr Samia kuendelea mpaka atakapoona amechoka mwenyewe?
After all wote wanatokea kwenye chama tawala kimoja na wanachama ni wale wale.
Uvccm ni wale wale. Wabunge ni wale wale.
Nchi ni ile ile.
Nini kimebadilika?
Hapo vipi wazee? Patamu hapo.
After all wote wanatokea kwenye chama tawala kimoja na wanachama ni wale wale.
Uvccm ni wale wale. Wabunge ni wale wale.
Nchi ni ile ile.
Nini kimebadilika?
Hapo vipi wazee? Patamu hapo.