Wale tuliofurahi Dr Magufuli Kuongoza Nchi Milele tufurahie pia Dr Samia aendelee hadi atakapo choka.

Watu waache ubaguzi. Kama enzi za Hayati Dr Magufuli mlifurahi aendelee kutawala endless kwanini ionekane ni kosa kwa Dr Samia kuendelea mpaka atakapoona amechoka mwenyewe?

After all wote wanatokea kwenye chama tawala kimoja na wanachama ni wale wale.
Uvccm ni wale wale. Wabunge ni wale wale.
Nchi ni ile ile.
Nini kimebadilika?

Hapo vipi wazee? Patamu hapo.
Ujinga
Hatukumfurahia Magufuli sababu ya CCM, la hasha

Na si kila CCM alitaka Magufuli adumu,
Wapo ambao hawakumtaka

Tuliyompenda Magufuli tulitaka aendelee, na Sasa tunataka Samia asiendelee
Waliomchukia Magufuli hawakumtaka aendelee, na sasa wanataka Samia aendelee

Kwahio ni exchange of interest!
 
Watu waache ubaguzi. Kama enzi za Hayati Dr Magufuli mlifurahi aendelee kutawala endless kwanini ionekane ni kosa kwa Dr Samia kuendelea mpaka atakapoona amechoka mwenyewe?

After all wote wanatokea kwenye chama tawala kimoja na wanachama ni wale wale.
Uvccm ni wale wale. Wabunge ni wale wale.
Nchi ni ile ile.
Nini kimebadilika?

Hapo vipi wazee? Patamu hapo.
Mimi huwa siifahamu vizuri faida ya kubadili badili kiongozi Mkuu kila baada ya miaka mitano !
Tunamchagua mwingine aje afanye nini kikubwa zaidi ??!
Je tumekuwa tukifanya comparison kujua tunamtaka aje kama yupi aliyepita ??!
Au aje zaidi ya yupi aliyepita ??!
Au tunataka tu aje mwingine wa kutoka chama chetu au wa kutoka chama kingine ??!
Kisha naye akija akae hiyo miaka yake mitano au kumi kisha tumchague mwingine kisha tena aje mwingine na mwingine na mwingine na mwingine ??!
Kwenye Nchi zetu hizi tunazoambiwa ni masikini kila tunapobadili badili wakubwa wetu nini huwa cha faida sana kinachoongezeka ???!

Mimi nadhani muhimu ni kuwa mtu mchapa kazi mcha Mungu Muadilifu Muaminifu Basi 😳
Akae pale mpaka achoke mwenyewe !
😂😂😅😀
Msinimeze ni mawazo yangu tu Bandugu !
Freedom of expression 🙌👍🙏 !
 
Akiqa fisadi mpka mmalize miama 10 mko hoi
 
Ujinga
Hatukumfurahia Magufuli sababu ya CCM, la hasha

Na si kila CCM alitaka Mahufuli adumu,
Wapo ambao hawakumtaka

Tuliyompenda Magufuli tulitaka aendelee, na Sasa tunataka Samia asiendelee
Waliomchukia Magufuli hawakumtaka aendelee, na sasa wanataka Samia aendelee

Kwahio ni exchange of interest!
Basi msinune akiendelea
 
Watu waache ubaguzi. Kama enzi za Hayati Dr Magufuli mlifurahi aendelee kutawala endless kwanini ionekane ni kosa kwa Dr Samia kuendelea mpaka atakapoona amechoka mwenyewe?

After all wote wanatokea kwenye chama tawala kimoja na wanachama ni wale wale.
Uvccm ni wale wale. Wabunge ni wale wale.
Nchi ni ile ile.
Nini kimebadilika?

Hapo vipi wazee? Patamu hapo.
Sio kosa na wala watu hawajasema kuwa ni kosa... labda wewe mwenyewe you're feeling quity... suala la kuongoza milele ni suala la wananchi wote kuamua wala sio suala la baadhi ya waramba asali tu kuamua... wanachi zaidi ya 50% wakiridhia basi mh rais ataongoza mpaka achoke.
 
Sasa waliochukia walitoka wapi? Tunataka na sas waunge mkono pia
 
Watu waache ubaguzi. Kama enzi za Hayati Dr Magufuli mlifurahi aendelee kutawala endless kwanini ionekane ni kosa kwa Dr Samia kuendelea mpaka atakapoona amechoka mwenyewe?

After all wote wanatokea kwenye chama tawala kimoja na wanachama ni wale wale.
Uvccm ni wale wale. Wabunge ni wale wale.
Nchi ni ile ile.
Nini kimebadilika?

Hapo vipi wazee? Patamu hapo.
Nadhani unatikisa kiberiti kutathimini njiti.

Uhafidhina hujengwa mioyoni mwa watu kutokana na matendo ya 'gavument' ama watawala kwa wananchi.

Ccm ni ile ile, lakini je aina ya uongozi inafanana?

Tuanzie hapo kwanza!
 
Ujinga
Hatukumfurahia Magufuli sababu ya CCM, la hasha

Na si kila CCM alitaka Mahufuli adumu,
Wapo ambao hawakumtaka

Tuliyompenda Magufuli tulitaka aendelee, na Sasa tunataka Samia asiendelee
Waliomchukia Magufuli hawakumtaka aendelee, na sasa wanataka Samia aendelee

Kwahio ni exchange of interest!
Exchange of interest kwa faida ya Nani ?
 
Watu waache ubaguzi. Kama enzi za Hayati Dr Magufuli mlifurahi aendelee kutawala endless kwanini ionekane ni kosa kwa Dr Samia kuendelea mpaka atakapoona amechoka mwenyewe?

After all wote wanatokea kwenye chama tawala kimoja na wanachama ni wale wale.
Uvccm ni wale wale. Wabunge ni wale wale.
Nchi ni ile ile.
Nini kimebadilika?

Hapo vipi wazee? Patamu hapo.
Mimi huwa najiuliza, kama katiba kweli ingebadilishwa kuondoa ukomo wa madaraka alafu ndio Mama kaachiwa, je wangekubali kipengele hicho kibakie?

Hawa watu ni wanafiki sana
 
Sasa waliochukia walitoka wapi? Tunataka na sas waunge mkono pia
Mambo huanza taratibu na baadae husambaa haraka kama moto wa nyikani... Hata kipindi cha Magufuli ilianza taratibu kwa akina Ally Mohamed Kessy kusema Bungeni, lakini baadae ukawa mjadala mkubwa japo kuna watu walichukizwa sana hata kipindi akina Kessy wanalianzisha hilo... kwahiyo na sasa hivi taratibu tu hilo nalo litaingia kichwani mwa watu, na itakuwa mjadala wa kitaifa.
 
Ukisema unataka kuongoza milele au mtu fulani aongoze milele, unue unamharakisha kuondoka.
Ikumbuke ile habari ya kwenye neno la Mungu kuwa kuna tajiri alipata mavuno mengi mazuri sana, kisha akasema sasa mimi nimebakia kula na kustarehe tu kwa sababu nina kila kitu. "Mungu akasema, mpumbavu wewe, usiku wa leo naihitaji roho yako".

Samia ametoa mchango wake tayari. Mazuri na mabaya yake, watanzania wameyaona, na bila shaka wameyapokea, japo mengine ni kwa shingo upande. Asilazimishe kuendelea kwa kuumiza demokrasia. Kama anataka kugombea tena baada ya kipindi chake kwisha, aruhusu demokrasia ifanye kazi ndani ya chama chake na nje ya chama chake. Aachane na habari ya fomu moja, na aachane na kutumia polisi na wakurugenzi kuuharibu uchaguzi.
 
Hili andiko nalikumbuka. Je lina impact kwa maisha ya leo?
 
Utamaduni wa CCM miaka yote huwa Rais aliyepo madarakani huwa hapambanishwi na mwana Ccm mwingine yeyote katika kugombea muhula wa pili !!

Sasa kwanini kwa Samia ndio iwe Nongwa ???!

Fomu ni moja tu ! Au nasema uongo ndugu zanguni ??!
 
Hahaha Mbona Kikwete alishindanishwa?
 
Watu waache ubaguzi. Kama enzi za Hayati Dr Magufuli mlifurahi aendelee kutawala endless kwanini ionekane ni kosa kwa Dr Samia kuendelea mpaka atakapoona amechoka mwenyewe?

After all wote wanatokea kwenye chama tawala kimoja na wanachama ni wale wale.
Uvccm ni wale wale. Wabunge ni wale wale.
Nchi ni ile ile.
Nini kimebadilika?

Hapo vipi wazee? Patamu hapo.
Chawa ndo hufurahia.
Ila mtu makini hawezi.
 
Back
Top Bottom