Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Wapi chawa Lucas Mwashambwa ?Watu waache ubaguzi. Kama enzi za Hayati Dr Magufuli mlifurahi aendelee kutawala endless kwanini ionekane ni kosa kwa Dr Samia kuendelea mpaka atakapoona amechoka mwenyewe?
After all wote wanatokea kwenye chama tawala kimoja na wanachama ni wale wale.
Uvccm ni wale wale. Wabunge ni wale wale.
Nchi ni ile ile.
Nini kimebadilika?
Hapo vipi wazee? Patamu hapo.
Ngoja waje tuoneWapi chawa Lucas Mwashambwa ?
CCM ni laana tupuWatu waache ubaguzi. Kama enzi za Hayati Dr Magufuli mlifurahi aendelee kutawala endless kwanini ionekane ni kosa kwa Dr Samia kuendelea mpaka atakapoona amechoka mwenyewe?
After all wote wanatokea kwenye chama tawala kimoja na wanachama ni wale wale.
Uvccm ni wale wale. Wabunge ni wale wale.
Nchi ni ile ile.
Nini kimebadilika?
Hapo vipi wazee? Patamu hapo.
Kwanini Mkuu BenjaminiCCM ni laana tupu
Imeleta umasikini mkubwa sn tena wa kijingaKwanini Mkuu Benjamini
Kwani Mbowe kasema anagombea?Mjadala wa sasa ni Mbowe vs Tundu Lisu Uenyekiti wa Chadema
Tupo hapa Dodoma T-shirt za Tundu Antipas Lisu zinanunuliwa Kuliko za Simba SC πCCM ni laana tupu
Ni sawa ni ubunifuTupo hapa Dodoma T-shirt za Tundu Antipas Lisu zinanunuliwa Kuliko za Simba SC π
Kasema hang'atuki πKwani Mbowe kasema anagombea?
Lucas saa hizi anafakamia maparachichi usiku ndiyo anaanza kuandika magazeti yake.Wapi chawa Lucas Mwashambwa ?
Umeongea naye lini?Kasema hang'atuki π
Sahihisho : Mjadala ni Lissu kuwa mwenyekiti ajaye wa Chadema.Mjadala wa sasa ni Mbowe vs Tundu Lisu Uenyekiti wa Chadema
Press ya juzi πUmeongea naye lini?
Alisema wanachama wataamuaPress ya juzi π
Sasa wataamuaje asipogombea?Alisema wanachama wataamua
Inategemea na kile kisomo cha Tanga maana hadi sasa hakijatoa mrejesho.Watu waache ubaguzi. Kama enzi za Hayati Dr Magufuli mlifurahi aendelee kutawala endless kwanini ionekane ni kosa kwa Dr Samia kuendelea mpaka atakapoona amechoka mwenyewe?
After all wote wanatokea kwenye chama tawala kimoja na wanachama ni wale wale.
Uvccm ni wale wale. Wabunge ni wale wale.
Nchi ni ile ile.
Nini kimebadilika?
Hapo vipi wazee? Patamu hapo.
UWT kwanini mnataka kuwapangia CHADEMA?Sasa wataamuaje asipogombea?
Akili za machadema Hovyo kweli kweli π