Wale hustlers
Mnakumbuka baada ya tetesi Chato kua mkoa tulinunua viwanja vya beach bei Kali,
Leo hii maeneo Yale yameshika hata wa kukupa milioni moja eneo la beach hayupo,
Sasa na utete twende tukanunue au tupapotezee maana haya mambo huchanganya Sana
Utete unakwenda kuzaa mkoa WA rufiji baada ya ya 2025 je tuelekee huko kununua maeneo au titapigwa hasara kama ya Chato ambapo tumebaki tunakodisha eneo kwa 40000 kwa mwaka wakati tulinunua bei kubwa ?
Huyu mchengerwa hawezi kutuongiza chaka kama ilivokua Chato?