Hongera mkuuMi nna kiwanja kizimkazi
Watu wanajua trading pekee ndio scam.Kitaalamu tunaita Speculation au Predatory Market Practice........
Unanunua huduma/bidhaa ya msingi kwa bei chee ukitegemea mfumuko wa bei ukusaidie kurudisha hiyo pesa yako.......
Kiufupi nyumba ni za kuishi na siyo kutumika kama kitegauchumi kikuu.........
Hebu fikiri watu wengi na serikali wangejenga majumba ya mabilioni kwa ajili ya upangishaji wakitegemea watu watakuja kuishi halafu wasije kama ilivyo leo hii, madhara makubwa kwa watu wa Chato na wawekezaji............
Chato nilikutupuka nikanunua ekari tano za ziwani kabisa Leo wanalima mahindi kwa 40k kwa ekari ndio nauliza na utete twende au tusikilizie kidogoKitaalamu tunaita Speculation au Predatory Market Practice........
Unanunua huduma/bidhaa ya msingi kwa bei chee ukitegemea mfumuko wa bei ukusaidie kurudisha hiyo pesa yako.......
Kiufupi nyumba ni za kuishi na siyo kutumika kama kitegauchumi kikuu.........
Hebu fikiri watu wengi na serikali wangejenga majumba ya mabilioni kwa ajili ya upangishaji wakitegemea watu watakuja kuishi halafu wasije kama ilivyo leo hii, madhara makubwa kwa watu wa Chato na wawekezaji............
Watu wanajua trading pekee ndio scam.
This is life is all about trading since anything can happen at anytime at anywhere without or out if your conscious
What isn't scam please.Speculation is a silent scam
HAPANA, SASA HIVI MUELEKEE KIZIMKAZI, PATAKUWA JIJI, AHSANTE.Wale hustlers
Mnakumbuka baada ya tetesi Chato kua mkoa tulinunua viwanja vya beach bei Kali,
Leo hii maeneo Yale yameshika hata wa kukupa milioni moja eneo la beach hayupo,
Sasa na utete twende tukanunue au tupapotezee maana haya mambo huchanganya Sana
Utete unakwenda kuzaa mkoa WA rufiji baada ya ya 2025 je tuelekee huko kununua maeneo au titapigwa hasara kama ya Chato ambapo tumebaki tunakodisha eneo kwa 40000 kwa mwaka wakati tulinunua bei kubwa ?
Huyu mchengerwa hawezi kutuongiza chaka kama ilivokua Chato?
Speculation is everything in business. Lazima kuwa mjanja kuliwa ni.rahisi sana..MTu akitaka.kuuza.bidhaa.lazima aongeze mwembwe na kutengeneza shortage or unavailability ili watu mkurupuke.Kitaalamu tunaita Speculation au Predatory Market Practice........
Unanunua huduma/bidhaa ya msingi kwa bei chee ukitegemea mfumuko wa bei ukusaidie kurudisha hiyo pesa yako.......
Kiufupi nyumba ni za kuishi na siyo kutumika kama kitegauchumi kikuu.........
Hebu fikiri watu wengi na serikali wangejenga majumba ya mabilioni kwa ajili ya upangishaji wakitegemea watu watakuja kuishi halafu wasije kama ilivyo leo hii, madhara makubwa kwa watu wa Chato na wawekezaji............
Chato bado ni potential mkuu jengeni nyumba haiozi.kajengeni mahoteli huko mbeleni Chato itakuwa mahali sahihi kwa uwekezajiWale hustlers
Mnakumbuka baada ya tetesi Chato kua mkoa tulinunua viwanja vya beach bei Kali,
Leo hii maeneo Yale yameshika hata wa kukupa milioni moja eneo la beach hayupo,
Sasa na utete twende tukanunue au tupapotezee maana haya mambo huchanganya Sana
Utete unakwenda kuzaa mkoa WA rufiji baada ya ya 2025 je tuelekee huko kununua maeneo au titapigwa hasara kama ya Chato ambapo tumebaki tunakodisha eneo kwa 40000 kwa mwaka wakati tulinunua bei kubwa ?
Huyu mchengerwa hawezi kutuongiza chaka kama ilivokua Chato?
Niuzie mm nimepata binti huko Chato.Chato nilikutupuka nikanunua ekari tano za ziwani kabisa Leo wanalima mahindi kwa 40k kwa ekari ndio nauliza na utete twende au tusikilizie kidogo