Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Bro Kuna ujumbe wako pm, ni dawa nzuri sanaNakuelewa sana bro .
Hakika unahitaji nibadilike na wish sana ila sasa pombe ndugu yangu nitaanza kuiacha taratibu maana kwa haraka haraka sitaweza
Ni kweli shemeji yako ananivumilia tu kwa vile ananipenda vile nilivyo japo sasa umri wangu umeenda kiasi cha kuwa nahisi anawaza hata akiniacha ataenda wapi sasa zaidi atakuwa anajidharirisha .