Wale tuliokulia kwenye familia za kishua tukutane hapa

Bro Kuna ujumbe wako pm, ni dawa nzuri sana
 
Watoto wengi wa ushuani wanakuwaga vilaza Sana shuleni 😂

Huwaga wanajua kwao pesa ipo tayari kwa hiyo hawakuwagi serious Sana na masomo.

NB: Sijasema wote wanakuwaga vilaza ila wengi wao.
 
Ndugu marehemu baba yangu alikuwa ana matumizi makubwa ya pombe, hivyo niliona athari zake. Ukiona tabu sana, basi ni pm namba yako tuwe tuna share hizo story zakoo na utaacha
Pombe sio mbaya Tatizo lipo Kwa mtu mwenyewe...over drinking na tabia za ajab ajab....

Wengi humu ndani wanakunywa ila wanajali familia zao, wanasomeasha, wanafanya ujenzi, biashara, Kazi na mambo yanaenda powaa........

Nilipata nafasi ntasimulia visa kadhaa hapa...
 
Mwamba una upendo sana , ila hautaweza kusaidia wote . Hongera kwa hilo bro.
 
Watu kama nyinyi ni rarely sanaa....
 
Niliwah kutoroka nikaenda kwa rafiki yangu kwao maisha ya kawaida wakanipa chakula niliharisha sitasahau Hadi nikapelekwa hospital usiku wazaz wa rafiki yangu wakakamatwa na urafiki wetu ukaishia hapo, nisamehe bwana Simon popote ulipo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani wewe unaweza kujuwa kutafuta pesa kukiko mtoto aliyelelewa na watafutaji pesa?

Wangekuwa si watafutaji usingethubutu kuwaita "wakishua".
 
katafute jukwaa la watoto wenzio. Maskini mkubwa.
 
Huna lolote misifa tu imekujah

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Changamoto nyingine ya kuwa mtoto wa KISHUA ni kupendwa na watu kinafiki, kipindi Bado Niko kijana ilikuwa ukipita sehem watu wanakuomba omba Hela unawapa siku hujawapa ni nongwa tu na ukipita bila kuwapa hi ni kosa watakusema mpka kwa Mzee.
Ila ww big... Acha uzushi eti ujawapa pesa wanaenda kukusema Hadi mzeee hv unawajuwa wakishua nn

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…