Wale tuliokulia kwenye familia za kishua tukutane hapa

Yaani wewe unaweza kujuwa kutafuta pesa kukiko mtoto aliyelelewa na watafutaji pesa?

Wangekuwa si watafutaji usingethubutu kuwaita "wakishua".
utaelewa hili nililolisema kama ukiangalia kama wazazi wao walizaliwa na kukulia ushuani au walipambana na kuchomoza from uswaz. watoto wa kishua wengi wanahitaji msaada na ukaribu sana, hata uongozi hawajui,wanachowaza wao ni kwenda ulaya tu, na wakifika kule wanakuwa useless kwasababu bado ni second class tu kule.
 
hata McDonalds wakijia kufungua mgahawa wao hapa bongo, utaona watoto wa wanaojifanya wa kishua wanajaa pale kupakia vyakula vya harakaharaka. kumbe mavyakula yale yananenepesha balaa,wenye hela ulaya hawali vyakula hivyo.
 
Ninavyokumbuka,watoto wengi waliokuwa wakishua walikuwa maboya sana.Kuonewa kila mara.Wapowapo tu kujiliza mamaaaa,mwalimuuuu!😜😜😜😜
 
Msaada upi wautake kwako? Labda kuwafungia nyuzi za viatu.
 

Mpaka la saba bado una ogeshwa🥸
Huo ni utahira walahi [emoji35]
 
Niliwah kutoroka nikaenda kwa rafiki yangu kwao maisha ya kawaida wakanipa chakula niliharisha sitasahau Hadi nikapelekwa hospital usiku wazaz wa rafiki yangu wakakamatwa na urafiki wetu ukaishia hapo, nisamehe bwana Simon popote ulipo.
Nimecheka sana 😂😂 kweli we wakishua
 
Niliwah kutoroka nikaenda kwa rafiki yangu kwao maisha ya kawaida wakanipa chakula niliharisha sitasahau Hadi nikapelekwa hospital usiku wazaz wa rafiki yangu wakakamatwa na urafiki wetu ukaishia hapo, nisamehe bwana Simon popote ulipo.
CHAAAAIIIIII[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuishi kwenye familia ya KISHUA changamoto nyingine ni kwamba mtoto wa KISHUA mara nyingi unakuwa mtu legelege.

Nakumbuka niliwah kwenda kijijini likizo Niko la tatu tukakutana na watoto wa maisha ya kawaida tukawa tunacheza Mpira.


Cha ajabu wale wajinga walikuwa hawana viatu lakin ukikutanisha nao miguu ww unaumia nilichoka.

Mpka leo Huwa sielew wale watu walikuwa na miguu gan.
 
Umeandika kwa Hisia Sana mkuu Japo sijakuona ila Katika COMMENT ZOTE YAKO INAFUNDISHA SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…