Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Sijui wanatuonaje!Sijaelewa hii maana yake nini kwani wale waliokua wanaua watu kwa kuwapiga risasi za kichwa wamefikishwa wapi? Tunapotezeana muda kwa mambo ya kijinga, hii maana yake nini?
Hatuna akili labda wanatuona manyaniSijui wanatuonaje!
Wewe ulitoka wapi?Safi sana
Nyinyi wa mitandaoni bakini humuhumu mlikishana matopetope
Maana mlikuwa chini ya uvungu hio siku
Mjifunze ushuhuda kwa wale wa kweli, ambao bila kutoka hata chapati na chai haioni hio siku
Ule ushahidi wa tume ya kwanza wameupeleka wapi?Sijaelewa hii maana yake nini kwani wale waliokua wanaua watu kwa kuwapiga risasi za kichwa wamefikishwa wapi? Tunapotezeana muda kwa mambo ya kijinga, hii maana yake nini?