Mpe pole sana mkuuRafiki yangu aliniambia mama wa jambo aliweka mkaka to lazima awe anapeana zama za kupika na house boy. Amefika university alikuwa mwisho mzuri si pilau, chapati, mchuzi wewe taja tu. mengine yanakuwa ni life gift
Yako na yangu ni sawa kabisa,Utajaza pipa na usipojaza Baba alishalishwa za kulishwa utapigwa kama mbwa aliekosa kwao.Mi nimekula msoto Sana Sana asbh nilikua nabeba ndoo za Maji mpk nijaze pipa ndio niende shule na Maji yalikua mbali kdg so saa 10 ucku naamka,sometimes nachongewa kwa mdingi nachezea kichapo havi na mengine Mengi ila namshukuru yule mama alinipa ujasiri wa kupambana na haya maisha![emoji120]
Nshapoa Shem lakePole sana mpendwa