Ndio, wale wanaume tuliooa wanawake wafupi tujuane tupeana changamoto za Hawa viumbe na ikiwezeka tuanzishe chama chetu cha wanaume waliooa wanawake wafupi Tanzania (chawawata) tuwe na mwenyekiti wetu na msemaji wetu karibuni
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app