Wale tuliooa wanawake wafupi tujuane

Wale tuliooa wanawake wafupi tujuane

Kiroka, mimi nimeoa mwanamke mfupi, mwanamke mfupi muelewe sana...

Kwanza, ana wivu wa kimiujiza duniani haujawahi kuwepo, muelewe sana na kuwa makini sana..Ila ni watamu duniani haijawahi kutokea, ngoja kwanza nimalizie bia, nitakuja kuendeleza.....
 
Nakusubiri
 
Ngoja nijiangalie kama ni mrefu au mfupi

Ila nijuacho..wanawivu,wanapenda kweli,akiamua Kukutoa kwenye reli😁😁 imeisha hiyo wakiamua kuwa visirani n viburi 😁 %mia ni ukweli
Dah imagine hizi lipsi zinaninyonya mb..
 
Ndio, wale wanaume tuliooa wanawake wafupi tujuane tupeana changamoto za Hawa viumbe na ikiwezeka tuanzishe chama chetu cha wanaume waliooa wanawake wafupi Tanzania (chawawata) tuwe na mwenyekiti wetu na msemaji wetu karibuni

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ufupi ni relative term...

Anaweza kuwa mfupi kwangu lakini akawa mrefu kwako.

Huo ufupi unamaanisha sentimita ngapi kutoka usawa wa bahari?
 
Mkuu, wanawake wafupi wana wivu ni haijawahi kutokea, sijui ni kwa sababu ya nini..
Ukimuoa muda wote ni battle juu ya mambo ya wivu wivu tu, mi nilikuwa hata nikisema naenda kuangalia UEFA, ananivizia nyuma nyuma kuona kama natongoza wanawake.
Ulishaoa wangapi ukapata uzoefu? Na ufupi wao ulikuwa sentimita ngapi kutoka usawa wa bahari?
 
Ufupi ni relative term...

Anaweza kuwa mfupi kwangu lakini akawa mrefu kwako.

Huo ufupi unamaanisha sentimita ngapi kutoka usawa wa

Ulishaoa wangapi ukapata uzoefu? Na ufupi wao ulikuwa sentimita ngapi kutoka usawa wa bahari?
Nilishakuwa na wapenzi sita wote wafupi, nikaachana nao nikaoa wengine wawili, nao ni wafupi.
Is this not enough experience? au unadhani ninadanganya?

Ufupi kuna vipimo vyao, na wakati wa kujifungua wananiambiaga mkeo ni mfupi sana, atajifungua kwa uangalizi maalumu, nadhani ni below cm150 kama sikosei..
 
Nimeshadeti na wafupi wa below 150cm zaidi ya 10 sijawahi kuona hilo tatizo. Na mke wangu ni mfupi miaka zaidi ya 20 sasa sijawahi kuona matatizo yaliyosemwa.

Tabia ya mtu haina uhusiano na kimo. Period...
 
Back
Top Bottom