Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
YaniKamavile kwelii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YaniKamavile kwelii
YaniKamavile kwelii
NakusubiriKiroka, mimi nimeoa mwanamke mfupi, mwanamke mfupi muelewe sana...
Kwanza, ana wivu wa kimiujiza duniani haujawahi kuwepo, muelewe sana na kuwa makini sana..Ila ni watamu duniani haijawahi kutokea, ngoja kwanza nimalizie bia, nitakuja kuendeleza.....
Mmmh, uwongo..Vifupi lakini huwa vina papuchi kubwa kama mfuniko wa ndoo.
Tutapeana mikakati ya kuwakabili.Hivyo mkishajuana ndo zitatatulika? 🤔
Dah imagine hizi lipsi zinaninyonya mb..Ngoja nijiangalie kama ni mrefu au mfupi
Ila nijuacho..wanawivu,wanapenda kweli,akiamua Kukutoa kwenye reli😁😁 imeisha hiyo wakiamua kuwa visirani n viburi 😁 %mia ni ukweli
Ufupi ni relative term...Ndio, wale wanaume tuliooa wanawake wafupi tujuane tupeana changamoto za Hawa viumbe na ikiwezeka tuanzishe chama chetu cha wanaume waliooa wanawake wafupi Tanzania (chawawata) tuwe na mwenyekiti wetu na msemaji wetu karibuni
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Happy New year my Mrs.mkihitaji mhazini........
Mkuu, wanawake wafupi wana wivu ni haijawahi kutokea, sijui ni kwa sababu ya nini..Tutapeana mikakati ya kuwakabili.
Happy New year mjukuuHivyo mkishajuana ndo zitatatulika? 🤔
Ulishaoa wangapi ukapata uzoefu? Na ufupi wao ulikuwa sentimita ngapi kutoka usawa wa bahari?Mkuu, wanawake wafupi wana wivu ni haijawahi kutokea, sijui ni kwa sababu ya nini..
Ukimuoa muda wote ni battle juu ya mambo ya wivu wivu tu, mi nilikuwa hata nikisema naenda kuangalia UEFA, ananivizia nyuma nyuma kuona kama natongoza wanawake.
Subiri masista wapiteNa sisi watawa tunachangia hapa
Na mahipsMwanamke akiwa mfupi,
tako linakuwaga... given.
Ufupi ni relative term...
Anaweza kuwa mfupi kwangu lakini akawa mrefu kwako.
Huo ufupi unamaanisha sentimita ngapi kutoka usawa wa
Nilishakuwa na wapenzi sita wote wafupi, nikaachana nao nikaoa wengine wawili, nao ni wafupi.Ulishaoa wangapi ukapata uzoefu? Na ufupi wao ulikuwa sentimita ngapi kutoka usawa wa bahari?
Yangu umeisoma? Kuhusu unyonyaji?Napitia comments
Nimeshadeti na wafupi wa below 150cm zaidi ya 10 sijawahi kuona hilo tatizo. Na mke wangu ni mfupi miaka zaidi ya 20 sasa sijawahi kuona matatizo yaliyosemwa.Nilishakuwa na wapenzi sita wote wafupi, nikaachana nao nikaoa wengine wawili, nao ni wafupi.
Is this not enough experience? au unadhani ninadanganya?
Ufupi kuna vipimo vyao, na wakati wa kujifungua wananiambiaga mkeo ni mfupi sana, atajifungua kwa uangalizi maalumu, nadhani ni below cm150 kama sikosei..