Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Na atakaemuacha mwanamke mfupi anipe namba yake hata kama wawe kumi sawa tu
Na mimi kama King
Kweli binadamu tunatofautiana
Haroon Rasheed alisema hivyo enzi hizo akiwa mfalme iwapo kama mtu atamtaliki mwanamke mfupi basi na amlete kwangu
Nimekuwa nawajua wafupi kwa mda na ni wazuri sana na sense of humour
Na mengine mengi [emoji7]